Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
he he he, babu ODM hana lolote
mafua tu
Kinauzwa milioni mia ngapi? Hutu tuploti twa milioni 80-90 ni kujitafutia tu migogoro na wauza mitumba
husyn kweli wewe fomu foo umepata foo
hujui keybodi zimepindua Misri, libya na zingine nyingi.
Key bodi zimeninunulia gari 2 kwa Rejao sasa natafuta nyumba kwa Byshernger.
Chezeiya kii bodi weye naona!
How dare you kumtaja sakapoko rejao kwenye hadhara hii? Hivi ukitaja wanaume NA rejao yumo? Tenaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
😛eep:😛eep::behindsofa::lalala:ha ha, usihofu
ni mwanamme suruali tu
haumi kabisa
Kongosho anasema wewe joka la kibisa sijui alikupa ukatoa maji maji na ulimi nje?
Khaaa!!!:hat:Mpe uone huyo babu kizee nasikia anakula mpaka tope
Khaaa!!!:hat:
HeheheheNasikia wewe kambale unapenda sana tope
Kinauzwa milioni mia ngapi? Hutu tuploti twa milioni 80-90 ni kujitafutia tu migogoro na wauza mitumba
Tatizo unacheka sana afu unasahau kunigongea kale kayuziful batan ka LIKE. Si unajua nikipata LIKE yako moja baioloji yangu inasisimka na bibi yenu anakuwa na uhakika wa kupata haki yake kwenye chakula cha usiku?nimecheka sana aki ya walai babu karibu nianguke.we kweli mwanaume bwana...
Huku Martenity ward nawapunguzia kina mama maumivu baada ya migomo ya madaktari...Hivi Babu Aspirin yuko maeneo gani?
Tatizo unacheka sana afu unasahau kunigongea kale kayuziful batan ka LIKE. Si unajua nikipata LIKE yako moja baioloji yangu inasisimka na bibi yenu anakuwa na uhakika wa kupata haki yake kwenye chakula cha usiku?
Huu mwongozo wa kuongoza wanawake jinsi ya kuchuna umeshupaliwa na wanaume, enyi wanaume, je mnajichuna?
Huku Martenity ward nawapunguzia kina mama maumivu baada ya migomo ya madaktari...
Unaweza pia kutumiwa na wanaume pindi sheria mpya ikishasainiwa