Ukitaka kumchuna mwanaume......mwongozo

he e he he, mtaa wa saba watanikoma.

Halo halo, mwanamke kujituma babuee
hasa unapopata jibaba kama Byshernger

ila na ka babu tablet jamani sikamwagi kenyewe ni kukang'oa ndevu tu
we relax bana,mbona nshakuagizia na kontena la fenicha toka dubai?
 
Nataka unibadilishie hili gari bana!.

mbona jambo dogo sana hilo? Kesho amkia pugu road pale international motor mart chagua model unayataka kisha wambie waniletee invoice,wanajua ofisini kwangu wale.
 
kweli wewe ni Shirika la Umma aka SU - Sina Uchungu, Sina Unga,

mbona jambo dogo sana hilo? Kesho amkia pugu road pale international motor mart chagua model unayataka kisha wambie waniletee invoice,wanajua ofisini kwangu wale.
 
Bishanga hebu njo huku nikuchune kamilioni, laki si pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…