Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka unibadilishie hili gari bana!.tatizo wewe tayaru una apartment oysterbay,sasa target yako wewe itakuwa nini,nyumba london? Si ntaua watoto sweetie?
Mbaya sana asee!hata mie nimewaza hivo hivo,njaa mbaya jamani!
we relax bana,mbona nshakuagizia na kontena la fenicha toka dubai?
Tunafanya kwa vitendo huu uzi wa Byshernger!... Mh mie kidogo ulimi uteguke kwa kutamka majina ya watu kwa kiinglishi!..byshernger na SL
mnafanyana nini hadharani?
tunatongozana.
mbona jambo dogo sana hilo? Kesho amkia pugu road pale international motor mart chagua model unayataka kisha wambie waniletee invoice,wanajua ofisini kwangu wale.
Sasa imetosha, Niachie SL na Kongosho wangu plzWivu tu unakusumbua!
makubwa!
Baba hajambo kbs,na salam zimefika!hujambo Canta binti Mtambuzi?
baba hajambo? msalimie.
Huyu Sekletali mpya hapa kazini akisoma hii maneno......................Nimekwisha!