Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,266
- 1,264
- Thread starter
- #41
Unakipindi kigumu asikwambie mtu,nakushauri mrudie mungu,maana kinacho kuumiza ni uzinifu tu.
Faraji wala sio uzinifu na siwezi kukufanya uamini kuwa ktk hilo hata wazo sina. Ishu ni aliyonitendea na pia muda ambao tumekuwa pamoja.
Nashukuru kwa ushauri wako wa kumrudia Mungu, I have done that already na kweli namuona God ktk hili.
NOTE:Mapenzi sio ngono tu!