Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I want to delete this man permanently in my heart and my life. Nipeni ushauri, nifanyeje? Nikutanapo na ndugu, jamaa na rafiki zake ambao tulizoeana nao sana, nashindwa kumsahau na ninatonesha kidonda upya.
Naombeni ushauri wenu.

Manaasha Mkubwa weeeeeeeee! Ulilazimishwa kumpenda? Mbona wakati wa kuanza mapenzi yenu haukuomba ushauri hapa? Kama vipi kafrash kichwa na moyo wako utakuwa umemwondo.
Manaasha Mkubwa weeeeeeeee! Ulilazimishwa kumpenda? Mbona wakati wa kuanza mapenzi yenu haukuomba ushauri hapa? Kama vipi kafrash kichwa na moyo wako utakuwa umemwondo.
Lol, naogopa hata huyo mwingine mana watu husema all men are the same, tofauti ni majina tu, kuna ukweli ktk hili?
Wanawake mnashangaza sana eti unataka kumsahau, utamsahu vipi mtu aliye kuvua chupi mwanzo.
Ni kama vile nyie wanaume mnavyoweza kuwasahau wanawake 20 uliowavua chupi.
Kitu kimoja wanachonishangaza wanawake ni kutokuukubali huu ukweli:
Mwanaume kamwe hawezi kuwa na mwanamke mmoja tu!
Mkishalijua hili na kulikubali hamtaumizwa mioyo yenu.
Ukimuacha huyo ukaenda kwa mwingine mchezo ni ule ule.
Kama ligi hii imewashinda, nendeni makanisani mkawe watawa...
Baada ya kusema hayo, pole sana Walimweusi kwa kutoukubali huu ukweli
Jaribu kubadili rangi ya wali labda utaweza kumpata mwanaume wa "ajabu" atakayekuwa wako peke yako!
i want to delete this man permanently in my heart and my life. Nipeni ushauri, nifanyeje? Nikutanapo na ndugu, jamaa na rafiki zake ambao tulizoeana nao sana, nashindwa kumsahau na ninatonesha kidonda upya.
Naombeni ushauri wenu.
Asprin, you have made my day kwa kweli! Ila bora umekuwa mkweli kuliko wengine ambao kila kukicha wanawadanganya wake/wapenzi wao kuwa 'You are the only woman in my life', lol! However, naamini wapo wanaume wachache, tena wachamungu ambao hawako hivyo.!