Ukitaka kumdelete mpenzi aliyekutenda ufanyeje?

I want to delete this man permanently in my heart and my life. Nipeni ushauri, nifanyeje? Nikutanapo na ndugu, jamaa na rafiki zake ambao tulizoeana nao sana, nashindwa kumsahau na ninatonesha kidonda upya.

Naombeni ushauri wenu.

Ukishapata mwingine utamsahau tu huyo.
 
Manaasha Mkubwa weeeeeeeee! Ulilazimishwa kumpenda? Mbona wakati wa kuanza mapenzi yenu haukuomba ushauri hapa? Kama vipi kafrash kichwa na moyo wako utakuwa umemwondo.
 
Ukishapata mwingine utamsahau tu huyo.

Lol, naogopa hata huyo mwingine mana watu husema all men are the same, tofauti ni majina tu, kuna ukweli ktk hili?
 
So far you seem to be doing very well. Keep it up and finally you will delete him even without knowing it. Good luck.
 
Manaasha Mkubwa weeeeeeeee! Ulilazimishwa kumpenda? Mbona wakati wa kuanza mapenzi yenu haukuomba ushauri hapa? Kama vipi kafrash kichwa na moyo wako utakuwa umemwondo.

Hee, Maajabu hayataisha! Sasa Ta Kamugisha una maana gani hapo kwenye bold?au mwanaasha yule mtoto wa naninhii, ha ha ha!

Kaflash na sio Kafrash, Umemwondoa na sio umemwondo, loh asante kwa maneno yako matamu.
 
Manaasha Mkubwa weeeeeeeee! Ulilazimishwa kumpenda? Mbona wakati wa kuanza mapenzi yenu haukuomba ushauri hapa? Kama vipi kafrash kichwa na moyo wako utakuwa umemwondo.

Mkuu hujamtendea haki wali mweupe!! mwanaasha????????
 
Sasa sijui Mwanaasha anaingiaje humu MMU?Lol, kaanza siku vibaya huyu!Mambo ya mwanaasha hapeleke panapohusika
 
So far you seem to be doing very well. Keep it up and finally you will delete him even without knowing it. Good luck.

Thanks Doctorz, I believe that the day will come when I will totally and completely delete him.
 
jitahidi tu mamy mana hata mimi yalinikuta na mbaya zaidi rafiki yake wa karibu kila siku nakutana nae mana tunafanya kazi gorofa moja , so jitahidi tu kwa uwezo wa mungu utashinda.

Najitaidi sana najua siku itafika nitamsahau.
 
Lol, naogopa hata huyo mwingine mana watu husema all men are the same, tofauti ni majina tu, kuna ukweli ktk hili?

Hao wanaosema hvy walifanya makosa kutembea na wanaume wote! Tutafutane nitazi treat stress zote alizokupa hy jamaa
 
Wanawake mnashangaza sana eti unataka kumsahau, utamsahu vipi mtu aliye kuvua chupi mwanzo.
 
Loh...usijali ntakutafuta
 
Wanawake mnashangaza sana eti unataka kumsahau, utamsahu vipi mtu aliye kuvua chupi mwanzo.

Ni kama vile nyie wanaume mnavyoweza kuwasahau wanawake 20 uliowavua chupi.
 
Kitu kimoja wanachonishangaza wanawake ni kutokuukubali huu ukweli:

Mwanaume kamwe hawezi kuwa na mwanamke mmoja tu!
Mkishalijua hili na kulikubali hamtaumizwa mioyo yenu.

Ukimuacha huyo ukaenda kwa mwingine mchezo ni ule ule.
Kama ligi hii imewashinda, nendeni makanisani mkawe watawa...

Baada ya kusema hayo, pole sana Walimweusi kwa kutoukubali huu ukweli
Jaribu kubadili rangi ya wali labda utaweza kumpata mwanaume wa "ajabu" atakayekuwa wako peke yako!
 
Asprin, you have made my day kwa kweli! Ila bora umekuwa mkweli kuliko wengine ambao kila kukicha wanawadanganya wake/wapenzi wao kuwa 'You are the only woman in my life', lol! However, naamini wapo wanaume wachache, tena wachamungu ambao hawako hivyo.!
 
Unakipindi kigumu asikwambie mtu,nakushauri mrudie mungu,maana kinacho kuumiza ni uzinifu tu.
 
i want to delete this man permanently in my heart and my life. Nipeni ushauri, nifanyeje? Nikutanapo na ndugu, jamaa na rafiki zake ambao tulizoeana nao sana, nashindwa kumsahau na ninatonesha kidonda upya.

Naombeni ushauri wenu.

mrudie mungu.
 
Asprin, you have made my day kwa kweli! Ila bora umekuwa mkweli kuliko wengine ambao kila kukicha wanawadanganya wake/wapenzi wao kuwa 'You are the only woman in my life', lol! However, naamini wapo wanaume wachache, tena wachamungu ambao hawako hivyo.!

sorry,kwani asprin me au ke.?
Napita 2
 
Back
Top Bottom