Ukitaka kumdelete mpenzi aliyekutenda ufanyeje?

Unakipindi kigumu asikwambie mtu,nakushauri mrudie mungu,maana kinacho kuumiza ni uzinifu tu.

Faraji wala sio uzinifu na siwezi kukufanya uamini kuwa ktk hilo hata wazo sina. Ishu ni aliyonitendea na pia muda ambao tumekuwa pamoja.

Nashukuru kwa ushauri wako wa kumrudia Mungu, I have done that already na kweli namuona God ktk hili.
NOTE:Mapenzi sio ngono tu!
 
Endelea kujidanganya mama.... endelea kujipa moyo tu...

Amin amin nakuambia hakuna mwanaume sumu kali kama hawa wanaojifanya wachaMungu. Ni vitombi maridadi..... afadhali siye wakeshabaa tunaofanya mapenzi na Tusker Malt na mara mojamoja na mabaamedi. Usije ukasema sikukukanya!
 

sorry,kwani asprin me au ke.?
Napita 2

Kutokana na alivyo comment yaelekea ni me, kama ni ke basi anisamehe

Mie Asprin a.k.a Babu ODM ni dume la mbegu lenye watoto wawili mabinti wazuri kama mama yao.
Wajukuu zangu wa hapa JF wanaweza kuwaambia kwa kina, babu ODM wa wajukuu ana kazi gani maalum hapa MMU.
ODM hazungukizunguki.... ODM anasema ukweli japo uumao.
 

Asante Babu ODM, sasa kama hata hao wacha Mungu ni vitombi basi me 'sitaki men'! Bora nikawe mtawa tu, au Babu unaonaje! Naogopa badae nisije tena hapa MMU na uzi mwingine wa kulia lia!
 
Asante Babu ODM, sasa kama hata hao wacha Mungu ni vitombi basi me 'sitaki men'! Bora nikawe mtawa tu, au Babu unaonaje! Naogopa badae nisije tena hapa MMU na uzi mwingine wa kulia lia!
Ewaaaa! Kama umeamua hutaki kushea then kajipeleke zako kanisani uwe mtawa (na huko mapadre wasipokumega, roho mtakatifu labda aingilie kati)

Vinginevyo unapoamua kukigawa kikojoleo chako kwa mwanaume, jua kimwaga mkojo cha huyo mwanaume wako si mali yako peke yako. Hizi baiolojia za kiumbe dume hakijaumbwa kunusa kibakuli kimoja tu cha kike....

Baada ya kusema hayo.... unachotakiwa kufanya ni kuchagua mwanaume wa ukweli ambaye anapoenda kufanya ubaradhuli wake basi akafanye responsibly... siyo linafanya mpaka ujue... huko ni kudhalilishana na kuumizana mioyo..... Sisi wazee wa infii tuna kanuni yetu moja inayosema, unapoenda kucheat HAKIKISHA spouse wako hajui! Huo ndio UNANAUME sasa!
 
Usichane picha wala ku delete namba yake, kwakufanya hivyo utakuwa unamkumbuka kila siku.
 
tafuta tu mtu mwingine na utasahau yote iula nae akikutenda siiimo
 
Jinyonge tu ndo suruhisho

Okay, very good advice, hapa nilipo, nshatafta kamba tayari kwa kujinyonga, ntakujulisha nikishamaliza, sawa Nyunzo
 

Samahani Aspirin, Mapadri hawaruhusiwi kufanya iyo kitu, so hawataweza kunimega, wala Roho Mtakatifu hatokuwa na ulazima wa kuingilia.

By the way, sitaki presha, ntakuwa alone tu, na bahati nzuri nina katoto kananipa furaha ya ajabu
 
Samahani Aspirin, Mapadri hawaruhusiwi kufanya iyo kitu, so hawataweza kunimega, wala Roho Mtakatifu hatokuwa na ulazima wa kuingilia.

By the way, sitaki presha, ntakuwa alone tu, na bahati nzuri nina katoto kananipa furaha ya ajabu
Orayt..ngoja tusubiri tuone. Time will tell.
 
I want to delete this man permanently in my heart and my life. Nipeni ushauri, nifanyeje? Nikutanapo na ndugu, jamaa na rafiki zake ambao tulizoeana nao sana, nashindwa kumsahau na ninatonesha kidonda upya.

Naombeni ushauri wenu.

Ungetoa japo makosa yake kama yapo.....tungeanzia hapo je kama wataka kumsahau baba mtoto wako kwa sababu say umepata mwenye uwezo zaid yake na hajakukosea lolote si tutakesha hapa as utakuwa guilty mpaka unakufa wewe......!!!!!!!!!
 
Ni kama vile nyie wanaume mnavyoweza kuwasahau wanawake 20 uliowavua chupi.
Vipi utamsahau mwanamke ulio mvua chupi....Kuna viuno vingine havisauliki, inabdi ukajifunze kucheza unyago, unaonyesha hujui kukizungusha wewe :biggrin:
 
Ungetoa japo makosa yake kama yapo.....tungeanzia hapo je kama wataka kumsahau baba mtoto wako kwa sababu say umepata mwenye uwezo zaid yake na hajakukosea lolote si tutakesha hapa as utakuwa guilty mpaka unakufa wewe......!!!!!!!!!
  • Ku cheat tena na ma bar maid (and cheap prostitutes) na
  • Kupenda starehe zisizo na msingi baada ya kupata pesa ili hali mambo ya kimaendeleo hayapi kipaumbele (anaitwa papa ....... na kati ya ....., ofa kibao kwa bendi fulan fulan, nkisema naambiwa me mshamba)
  • Kuishi kwa kuongozwa na wazazi na ndugu zake (e.g. mama anakuja kusalimia anasema siondoki hadi unipe 1 million))
  • Kushindwa kuwa kichwa cha familia ( mfano, wadogo kufanya ngono ndani ya nyumba na yeye kutoonesha kujali akisema kila mtu ana maisha yake
  • Kubwa zaidi, ana kesi ya kumpa mimba mtoto wa shule
Hapo kwenye bold, basi me ntakuwa chizi kama nimemwacha mwenyewe baada ya kupata mwenye uwezo, tena niombe ushauri kwenu. Fikiri kabla hujacomment
 
Pole sana, piga moyo konde MUNGU atakuonyensha njia sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…