Ukitaka kumpata Diamond for a show now..

We ndo unaonekana haufatilii mziki. Kwa rank za sasa hivi Diamond yupo juu ya Flavour na wenzake wengi
Tatizo letu wabongo huwa hamjui kupima ukubwa wa msanii, ndo maana huwa tunalazimisha kuwaweka group moja alikiba na diamond.
Ni hivi diamond kwa sasa ni msanii mkubwa africa lakini hajafikia kuwa na nguvu kama ya mr.flavour, uyu mr flavour akienda ghana, zambia ,benin, togo, ivory coast, malawi, comeroon, zimbabwe, gabon na south africa anawezo wa kupiga show kujaza kiwanja cha mpira, diamond nguvu hiyo bado hana japo atapata watu
 
fiesta atapiga dar tu kwa pesa madafu kama kawaida! izo mbwembwe tu
 
nataka kuziona show za fleva[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]nijionee
 
Mwenzenu kenya
Masaa 2 kampiku pesa ya mshahara wa Rais wa kenya
 
Kabla HAUJASEMA kama ni kweli au sio kweli kuhusu hiyo PRICE..!
Jambo MUHIMU kujua ni vitu/vigezo gani vinavyomfanya msanii awe na price kubwa..!?
Je,Diamond Platnumz anavyo hivyo vigezo..!?
Ukishapata majibu ya maswali haya ndio unaweza sema chochote..!!!
 
Kwa hali hii waleee wa fiesta hawatamuita nasjaskia mpaka leo atapeform wap nahis clauds wameogopa gharama kubwa sana
Huo mziki mrefu mkuu. Thamani yake sasa inazid kupanda maradufu sasa na hio kolabo na neyo iko.njiani ndo kabisaa itafika mahali kumpata itakua milion 100 na ushee, yetu macho
 
Ayo maandishi ya hicho kiwango cha fedha yametolewa na uongozi wake ama ni blong za mashabiki maandazi?
Hivi mkuu clip.ya video ya channel ya E ya marekani inayowazungumziaga mastaa duniani na maisha yao walipomtaja diamond na kusema utajiri wake ni dola milion 4 unafikiri ni maroroso ya ushabiki...hahaha hizo ni bilioni 8 za kitanzania kama ulikua hujui.
 
Japo ni shabiki wake mkubwa ila numbers do not add up.
Labda kama shows za nje huko kwa wenzetu ingekuwa anavuta mpunga mrefu kiasi hiki basi angekuwa ana ela zaidi ya sasa maana shows zake ni nyingi sana.
Mwishoni mwa mwaka jana alikua na sh.bil8 benk
 
Vizuri

Kuna uzi humu wa miezi sasa kama sio mwaka, unaelezea kizaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…