brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Tatizo letu wabongo huwa hamjui kupima ukubwa wa msanii, ndo maana huwa tunalazimisha kuwaweka group moja alikiba na diamond.We ndo unaonekana haufatilii mziki. Kwa rank za sasa hivi Diamond yupo juu ya Flavour na wenzake wengi
Ni hivi diamond kwa sasa ni msanii mkubwa africa lakini hajafikia kuwa na nguvu kama ya mr.flavour, uyu mr flavour akienda ghana, zambia ,benin, togo, ivory coast, malawi, comeroon, zimbabwe, gabon na south africa anawezo wa kupiga show kujaza kiwanja cha mpira, diamond nguvu hiyo bado hana japo atapata watu