Mkuu hata Mbuyu ulianza kama mchicha alinza na ayo ma billionMmm jombaa Mo hapo ume over exaggerating.. Mo mtu wa kumilik 1 Bil Dollar aise
Mmmm we bwana wacha uongo wee nmemuona huyo HUAWEI kubabake kafany Show za kinyonge kinoma na znajaza sababu hajawah kupiga show ya peke kama 1 man army.. Hapa tunazungumzia show ambazo msanii anafany mwenyew tu kama Diamond are Forever, Zari white party, MdogoMdogo Night Los Angeles, Diamond Night Paris, Diamond in Las Vegas, Diamond in Germany, Diamond in Australia, Diamond in London.. Cjataj zile show za Africa bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf ukananishe na TEKNO ar u serious.? Jombaa google sio shule kusema utachapwa ukiuliza just ulizia tu utulie..Usimfananishe Mr flavaur na msanii wa mchangani pitia page yake huko youtube ukaone balaa lake huyo diamond kwa tekno tu inabidi akapashe!
Please note, ni kwa wanahitaji tuu, wewe sio mlengwa, subiri YouTube na utumiwe kwa BluetoothKwa muziki upi wa maana kwa hela hiyo!
miziki ya kuamasisha Ngono. Unakwenda kujizolea Mapepotu ya zinaa.Kwa muziki upi wa maana kwa hela hiyo!
Uzuri jamaa ana wekeza hadi sasa ana nyumba 13+ Dsm izo nyumba anapangisha na kodi ya Dar zilivyojua kiasi anachoingiza n balaa
Hahah dola 50 ni laki 1 huku kwet, kwaio analipwa laki 1 show ya nje...chinekemee....
Hahahaha sijasoma mkuu ulieelimika kwa phd kwa kujibu hoja kwa matusi. Hongera mkuu.Wewe ****** hio ni $50 kiingilio sio anayolipwa ulisoma shule wapi ww hujui hata kuchanganua vitu!!
Sure wazo lako ni nzuri sana ujumbe utamfikiaBro kedrick wanachokosea washauri wa huyu Dogo wanashindwa kumwelekeza njia sahihi za kui-ivest,huwezi kuwa na nyumba sijui mbagala au mbweni au sinza huko ukasema una assets za kukuingizia pesa nzuri,ukamsubiri mtu aunge unge lak5 kwa mwezi akuletee kodi mwaka 6mill useme umewekeza?ningekuwa mshauri wake ningemshauri nyumba zote auze abaki na moja au mbili za kuishi akanunue mapagala yake mawili K/koo abomoe apandishe ghorofa zake kumi kumi chini milango ya maduka juu apartments anawakodisha wahindi per$$ pia kuna watu wanahitaji sehemu za maofisi nk.milango ya maduka town kuna watu wanachukua hadi 3mill per month kutegemea na mtaa,kiwango anachozungumziwa kama kweli akawa hivyo tulitakiiwa tusikie anapandisha ghorofa katikati ya jiji sio kununua nyumba nje ya mji na kupost pics instagram.
Ingia you tube utaziona mkuu ni kweli kuna moja nimeiona amejaza uwanjanataka kuziona show za fleva[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]nijionee
kwa hiyo wewe ndio muandaaji wa matamasha east africa au na wewe uliuliza baada ya kubisha ukapewa jibu?!Acha ubishi kama hujui kitu waulize waandaaji wa matamasha east africa
Clouds wakimtaka huyo anapiga show hata bure...huwezi kushindana na ulipotokaKwa hali hii waleee wa fiesta hawatamuita nasjaskia mpaka leo atapeform wap nahis clauds wameogopa gharama kubwa sana
Lete ushahidiSasa hivi diamond akifanya show ulaya au marekani analipwa sawa na kina mr.flavour
Hizo hela ziko wapi maana wewe upoteze muda wako kumtetea!?Pesa hazijifichi wewe ushawahi kusikia watu wakisema maneno hayo kwa bakhresa au Mo Dewji?!Huyu jamaa ana hela kuliko unavyodhani wewe.
Umejuaje au wewe ndio Zari?!Mwishoni mwa mwaka jana alikua na sh.bil8 benk