Ukitaka kumpata Diamond for a show now..

Ukitaka kumpata Diamond for a show now..

Usimfananishe Mr flavaur na msanii wa mchangani pitia page yake huko youtube ukaone balaa lake huyo diamond kwa tekno tu inabidi akapashe!
Mmmm we bwana wacha uongo wee nmemuona huyo HUAWEI kubabake kafany Show za kinyonge kinoma na znajaza sababu hajawah kupiga show ya peke kama 1 man army.. Hapa tunazungumzia show ambazo msanii anafany mwenyew tu kama Diamond are Forever, Zari white party, MdogoMdogo Night Los Angeles, Diamond Night Paris, Diamond in Las Vegas, Diamond in Germany, Diamond in Australia, Diamond in London.. Cjataj zile show za Africa bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf ukananishe na TEKNO ar u serious.? Jombaa google sio shule kusema utachapwa ukiuliza just ulizia tu utulie..
Na angalia hao Tekno na Mr. Flavour wamekuw nominated kw tuzo gan kubwa?
 
Nasubiria kolabo ya neyo na french montana ndo atalipwa zaidi ya hiyo endeleeni kubishana tu huku yeye anazivuta.
 
Uzuri jamaa ana wekeza hadi sasa ana nyumba 13+ Dsm izo nyumba anapangisha na kodi ya Dar zilivyojua kiasi anachoingiza n balaa

Bro kedrick wanachokosea washauri wa huyu Dogo wanashindwa kumwelekeza njia sahihi za kui-ivest,huwezi kuwa na nyumba sijui mbagala au mbweni au sinza huko ukasema una assets za kukuingizia pesa nzuri,ukamsubiri mtu aunge unge lak5 kwa mwezi akuletee kodi mwaka 6mill useme umewekeza?ningekuwa mshauri wake ningemshauri nyumba zote auze abaki na moja au mbili za kuishi akanunue mapagala yake mawili K/koo abomoe apandishe ghorofa zake kumi kumi chini milango ya maduka juu apartments anawakodisha wahindi per$$ pia kuna watu wanahitaji sehemu za maofisi nk.milango ya maduka town kuna watu wanachukua hadi 3mill per month kutegemea na mtaa,kiwango anachozungumziwa kama kweli akawa hivyo tulitakiiwa tusikie anapandisha ghorofa katikati ya jiji sio kununua nyumba nje ya mji na kupost pics instagram.
 
Hahah dola 50 ni laki 1 huku kwet, kwaio analipwa laki 1 show ya nje...chinekemee....

Wewe kilaza hio ni $50 kiingilio sio anayolipwa ulisoma shule wapi ww hujui hata kuchanganua vitu!!
 
Bro kedrick wanachokosea washauri wa huyu Dogo wanashindwa kumwelekeza njia sahihi za kui-ivest,huwezi kuwa na nyumba sijui mbagala au mbweni au sinza huko ukasema una assets za kukuingizia pesa nzuri,ukamsubiri mtu aunge unge lak5 kwa mwezi akuletee kodi mwaka 6mill useme umewekeza?ningekuwa mshauri wake ningemshauri nyumba zote auze abaki na moja au mbili za kuishi akanunue mapagala yake mawili K/koo abomoe apandishe ghorofa zake kumi kumi chini milango ya maduka juu apartments anawakodisha wahindi per$$ pia kuna watu wanahitaji sehemu za maofisi nk.milango ya maduka town kuna watu wanachukua hadi 3mill per month kutegemea na mtaa,kiwango anachozungumziwa kama kweli akawa hivyo tulitakiiwa tusikie anapandisha ghorofa katikati ya jiji sio kununua nyumba nje ya mji na kupost pics instagram.
Sure wazo lako ni nzuri sana ujumbe utamfikia
 
nataka kuziona show za fleva[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]nijionee
Ingia you tube utaziona mkuu ni kweli kuna moja nimeiona amejaza uwanja
 
Kwa hali hii waleee wa fiesta hawatamuita nasjaskia mpaka leo atapeform wap nahis clauds wameogopa gharama kubwa sana
Clouds wakimtaka huyo anapiga show hata bure...huwezi kushindana na ulipotoka
 
Huyu jamaa ana hela kuliko unavyodhani wewe.
Hizo hela ziko wapi maana wewe upoteze muda wako kumtetea!?Pesa hazijifichi wewe ushawahi kusikia watu wakisema maneno hayo kwa bakhresa au Mo Dewji?!
 
Ni Pesa mingi aisee! Si ajabu Tale na wenzake wanamganda.

Ila aangalia mikataba yake kwa makini isije kuwa baada ya makato ya mameneja wake akabaki na theluthi tu yaani 13,000.

Hivi zile shows za birthday huko Ulaya zinaweza kuingiza $40,000?

Ila wapunguze mkwara aisee "eti uki-delay kutu-book us, tutakugonga na $5000 more"
 
Back
Top Bottom