πππππTunaigizaaa sio kidogo nakwambiaaaa[emoji1787][emoji1787] Siri nzito zimejificha
Wakitoka nje wanaigiza [emoji1787][emoji1787]
Tena wanawake tuna maigizo ya kufa mtu, ndani moto unawaka alafu nje tunapiga pamba karee na lipstick juu...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Tunaigizaaa sio kidogo nakwambiaaaa
Mada hii naona kama imeletwa makusudi kimkakati kwa lengo la kuunga mkono kwa mbinu ya kificho kampeni ya "kataa ndoa."Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.
Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.
Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.
Donatila
Achaaa tuuuu...unakutaa mna wiki hamsemeshanii lkn ukiwaa nje huku my husband this..My husband thatπππ..Ndoa ni taasisi ya kinafiki sanaaTena wanawake tuna maigizo ya kufa mtu, ndani moto unawaka alafu nje tunapiga pamba karee na lipstick juu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unafiki wa hali ya juu...Achaaa tuuuu...unakutaa mna wiki hamsemeshanii lkn ukiwaa nje huku my husband this..My husband that[emoji1][emoji1][emoji1]..Ndoa ni taasisi ya kinafiki sanaa
Inafikaa mahali we need a break kbsaaa...hizi ndoaa za kisasa plus social mediaa achaa tuuu...unakutaa mume yupoo bizee kuangaliaa makalio tiktok...Marriage is a scam haki tenaaa.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unafiki wa hali ya juu...
Ukute uko Instagram Sasa mapicha ya my hubby my boo [emoji1787][emoji1787]
Kumbe ndani ni uwanja wa vita...
Hiii ina ukweliUkioa tu ndio watoto wazuri utawaona na wale ote walokukataa watakukubali
Nyie Mbona mnavuruga vijanaHabari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.
Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.
Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.
Donatila
Jicho limevimba upande mmoja kutokana na kipigo cha kibao(Kofi) lakini huko nje inasemwa "Nimengatwa na mdudu nilipokuwa nafyeka shambani" We acha tuu. Siri sirini.π±[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unafiki wa hali ya juu...
Ukute uko Instagram Sasa mapicha ya my hubby my boo [emoji1787][emoji1787]
Kumbe ndani ni uwanja wa vita...
Binafsi hata mimi huwa nashangaa sana. Miaka hii kuoa ni kutafuta matatizo. Taasisi ya ndoa ni obsolete, kizazi cha nyuma ili-make sense kwa ssb kila jinsia ilisimama ktk majukumu yake ya msingi.Kwanza mtu unaoa ili ugundue nini?
Kwa haya maisha na hiki kizazi cha sasa simshauri mtu kuoa labda kama anatafuta kuwahi kufa(Nb: mimi nimeoa)
Unafikiri vilivyoandikwa humu ni vya kutunga? Wanaume wengi walioa huwa wanalia kisiri siri, wachache wale wanafiki wanafiki ndio huwa wanapenda kudanganya wanaume wenzao sijui oa na wewe ili muwe wote kusimuliana visanga.Mada hii naona kama imeletwa makusudi kimkakati kwa lengo la kuunga mkono kwa mbinu ya kificho kampeni ya "kataa ndoa."