Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

Kuna mzee mmoja ni tajiri ana gorofa kapangisha fresh mwanza mjini, ana nyumba kadhaa mpka Dar sasa yule mzee aliachana na mke wake.

Walivoachana yule mzee akampa nyumba 1 ktk nyumba zake, pia akamuachia duka kubwa la nguo mjini maana yule nwanamke alitaka wagawane mpka lile duka ila yule akamuachia wakaendlea kulea tu watoto.

Yule mama lile duka aliloachiwa akafirisika akaenda mahakaman analitaka na lile jengo la biashara wagawane!! Yule mzee anamuogopa yule maza balaa maana akija akilianzisha ni aibu kubwa huwa inatokea. Kiufupi ni kwamba yule mama mfano halisi wa shetan aliyepo duniani na huwenda ndo shetani mwenyewe ila hatujui
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.

Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.

Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.

Donatila
Mada hii naona kama imeletwa makusudi kimkakati kwa lengo la kuunga mkono kwa mbinu ya kificho kampeni ya "kataa ndoa."
 
Tena wanawake tuna maigizo ya kufa mtu, ndani moto unawaka alafu nje tunapiga pamba karee na lipstick juu...

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Achaaa tuuuu...unakutaa mna wiki hamsemeshanii lkn ukiwaa nje huku my husband this..My husband that😄😄😄..Ndoa ni taasisi ya kinafiki sanaa
 
Achaaa tuuuu...unakutaa mna wiki hamsemeshanii lkn ukiwaa nje huku my husband this..My husband that[emoji1][emoji1][emoji1]..Ndoa ni taasisi ya kinafiki sanaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unafiki wa hali ya juu...

Ukute uko Instagram Sasa mapicha ya my hubby my boo [emoji1787][emoji1787]

Kumbe ndani ni uwanja wa vita...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unafiki wa hali ya juu...

Ukute uko Instagram Sasa mapicha ya my hubby my boo [emoji1787][emoji1787]

Kumbe ndani ni uwanja wa vita...
Inafikaa mahali we need a break kbsaaa...hizi ndoaa za kisasa plus social mediaa achaa tuuu...unakutaa mume yupoo bizee kuangaliaa makalio tiktok...Marriage is a scam haki tenaaa.....
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.

Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.

Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.

Donatila
Nyie Mbona mnavuruga vijana
Wengine mnasema waoe Ndoa ni tamu,wengine mnasema kwenye ndoa kuna shetani 😇😇😇😇
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unafiki wa hali ya juu...

Ukute uko Instagram Sasa mapicha ya my hubby my boo [emoji1787][emoji1787]

Kumbe ndani ni uwanja wa vita...
Jicho limevimba upande mmoja kutokana na kipigo cha kibao(Kofi) lakini huko nje inasemwa "Nimengatwa na mdudu nilipokuwa nafyeka shambani" We acha tuu. Siri sirini.😱
 
Kwanza mtu unaoa ili ugundue nini?
Kwa haya maisha na hiki kizazi cha sasa simshauri mtu kuoa labda kama anatafuta kuwahi kufa(Nb: mimi nimeoa)
Binafsi hata mimi huwa nashangaa sana. Miaka hii kuoa ni kutafuta matatizo. Taasisi ya ndoa ni obsolete, kizazi cha nyuma ili-make sense kwa ssb kila jinsia ilisimama ktk majukumu yake ya msingi.

Kuna jamaa yangu kaoa mke ambaye anafanya kazi ofisi ambayo kutwa yupo safarini. Kwa mwaka anaweza kukakaa nyumbani kwake si zaidi ya miezi 3. Watoto wanalelewa na dada wa kazi. Huwa najiuliza huyu jamaa alijitwisha hili zigo kwa ssb zipi?
 
Mada hii naona kama imeletwa makusudi kimkakati kwa lengo la kuunga mkono kwa mbinu ya kificho kampeni ya "kataa ndoa."
Unafikiri vilivyoandikwa humu ni vya kutunga? Wanaume wengi walioa huwa wanalia kisiri siri, wachache wale wanafiki wanafiki ndio huwa wanapenda kudanganya wanaume wenzao sijui oa na wewe ili muwe wote kusimuliana visanga.
 
  • Picha linaanza: Kwenye bati usiku mnaanza kusikia kama watu wanatembea, mapundi na mapaka yanalia kinoma usiku kiasi hamlali, uchumi ukianza kuimarika Tu mme anaanza'kutongozwa' na vidada - akichepuka tu, kwisha habari - mkijaliwa first born na magonjwa yanahamia kwa kwa Kadi ya 6G, ...
  • Shetani anajua wazi ndoa zikiimarika hana misingi imara.
  • Naona vijana legelege - mlenda mlenda wqnahamasishana kutooa, ili hali wazee wao nganhgari waloioa mpaka wake 4
 
Back
Top Bottom