Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

Duh noma.
 
Mazuri ni yap mama bless
Kupata watoto wazuri...kuwaa na mtu ambaye ni msiri wako wa ups na down...kwenye magonjwaa sasa mkeo ndio kila kitu kwakoo...mwangalie profesa j...mke Ni muhimu Sana Kaka zanguu...changamotoo zipoo Ila hazipotezi kbsaaa mazuri ya ndoaa...wanawake wazuri wa kutulia ndani ya ndoa bado wapoo msiogope Ila tuu mchoose wisely....Ndoa ni Jambo jema kbsaaa
 
Ni kwel mama bless ila subiri kidgo tule maisha nikifika 50 nitafikiria hilo๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Mkitembelewa na mgeni mnajichekesha chekesha,mnashinda naye vizuri,akiondoka mkifikisha getini,akitoka tu mnanuniana tena,hapo ni mpaka mmoja akubali kujishusha....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukweli mtupu. Hapo wenye ndoa za kachumbari lazima watokee dirishani. Ila wote mkiwa wacha Mungu ushindi ni uhakika hata baada ya kitikiswa.
 
Dooh basi hatari tupu
Yaani ukisha oa tu mwanaume unaanza kuwaziwa kufa tu ๐Ÿ˜”
 
Kuna ukweli hapa...

Wanawake wengi wamekosa upendo na uvumilivu...
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ hapo kwenye uvumilivu ndio kipengele, kwenye upendo wanajitahidi ila sasa huwezi jua ni upendo ule wa agape au ni upendo agape uliochanganyika na hali ya maisha hasa kwenye maokoto. Maana siku hizi upendo fake upo wa kutosha hata huko makanisani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ