Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

Makosaa kwenye ndoa yanakosekanaa basii huwaa yapoo tuuu😄😄..Mfanoo la kuchelewaa kurudi nyumbani na cm kutokupokeaa yaaani hapo tunajaa vifuaa hatariii na tunaongeaga maneno yotee mpk ya akibaa😄😄....Tunawazagaa mpk mtakavyopata ajali za usikuuu na vilee tutakapo pokeaa rambirambi😄😄😄...
Duh noma.
 
Mazuri ni yap mama bless
Kupata watoto wazuri...kuwaa na mtu ambaye ni msiri wako wa ups na down...kwenye magonjwaa sasa mkeo ndio kila kitu kwakoo...mwangalie profesa j...mke Ni muhimu Sana Kaka zanguu...changamotoo zipoo Ila hazipotezi kbsaaa mazuri ya ndoaa...wanawake wazuri wa kutulia ndani ya ndoa bado wapoo msiogope Ila tuu mchoose wisely....Ndoa ni Jambo jema kbsaaa
 
Ni kwel mama bless ila subiri kidgo tule maisha nikifika 50 nitafikiria hilo🙏🙏🙏
 
Mkitembelewa na mgeni mnajichekesha chekesha,mnashinda naye vizuri,akiondoka mkifikisha getini,akitoka tu mnanuniana tena,hapo ni mpaka mmoja akubali kujishusha....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.

Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.

Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.

Donatila
Ukweli mtupu. Hapo wenye ndoa za kachumbari lazima watokee dirishani. Ila wote mkiwa wacha Mungu ushindi ni uhakika hata baada ya kitikiswa.
 
Makosaa kwenye ndoa yanakosekanaa basii huwaa yapoo tuuu😄😄..Mfanoo la kuchelewaa kurudi nyumbani na cm kutokupokeaa yaaani hapo tunajaa vifuaa hatariii na tunaongeaga maneno yotee mpk ya akibaa😄😄....Tunawazagaa mpk mtakavyopata ajali za usikuuu na vilee tutakapo pokeaa rambirambi😄😄😄...
Dooh basi hatari tupu
Yaani ukisha oa tu mwanaume unaanza kuwaziwa kufa tu 😔
 
Kuna ukweli hapa...

Wanawake wengi wamekosa upendo na uvumilivu...
😁😁😁😁 hapo kwenye uvumilivu ndio kipengele, kwenye upendo wanajitahidi ila sasa huwezi jua ni upendo ule wa agape au ni upendo agape uliochanganyika na hali ya maisha hasa kwenye maokoto. Maana siku hizi upendo fake upo wa kutosha hata huko makanisani.
 
Back
Top Bottom