Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

Nilijua mwenyewe tu
 
Shetani utamuona kwenye ndoa kama utaacha mlango wazi au utampa nafasi.

Ila mkimruhusu Mungu kuwa kati yenu, hakuna nafasi yoyote ya shetani kuwavuruga.

Msiwe peke yenu lazima Mungu awe kati yenu ili hilo pengo lisizibwe na shetani.

Usisahau kuiombea ndoa yako/ mwenza wako Kila siku, omba daima maana maombi ni silaha na ulinzi tosha
 
Huyu jamaa shetani huwezi mjua, anakaa kwenye vitu vizuri vinavyofurahisha...

Kama ndoa maana anajua ni agano la Mungu na anajua, sasa yeye analivunja...
Ukristo wa kileo ndii uliharubu ndoa baada ya kuifanya kuwa kinga ya wanawake na wanaumenkuwa wahanga wakuu wa ndoa!!

Leo mwnamke akishafunga ndoa ndio ana jiona ana haki ya mgao wa Mali yaani mtaji was maisha kwa nguvu za mwanamme!!

Ndio maana tunashudia viburi vya kina mama huibuka na mwanamme rijali akiona hivyo Hana namna zaidi ya kifo kuwa ndio utatuzi wa tatizo coz akiona talaka inamnufaisha mwanamke Alie zaa watoto!Sasa atafanya ninni!!?kuua make au kujiua!ndio maamzi common Hadi sasa!


Wanaume hatujapata Tiba halisi ya ndoa inapoharibika zaidi ya kuua make au kujiua tafiti zinaonyesha hivyo!yaani una muwahi mwenzio kabla hajakutilia sumu kimya kimya ukafa Kwa ugonjwa was muda mrefu!!

Mfumo dume ulidumisha ndoa ndio sisi tukazaliwa na viongozi was Leo ,sasa mfumo dune unge be modified lakini serikali na dini wanaua kabisa mfumo dume hawajui bila mfumo duke hakuna ulimwengu Wala kustawi Kwa chochote kabisa fikiria viongozi was kesho,yaani kina samiah,kikwete,jpm was kesho yaani was uzao wako watakuaje!!we fikiria kama mfumo duke ulizaaa kina nyerere he mfumo jike utazaa kina Nani!!!?
 
Ukioa tu ndio watoto wazuri utawaona na wale ote walokukataa watakukubali
 
Kilichoua mfumo dume sio Ukristo ndugu,ni mambo ya Beijing ndio yameua hiyo kitu,hii hatimaye imezaa feminism duniani,kwahiyo ukienda kokote pale duniani mfumo dume unayumba sana,ingawa kidogo wenzetu waarabu wameweza kukomaa lakini tayari wameshaanza kuyumbishwa,nadhani ulisikia maandamano makubwa yaliokuwa yanatokea kule Iran,ule ni mwanzo tu,soon watakuja huku tuliko...
 
Hivi hizo Mali wanazogawana Huwa ni Kwa Ajili ya nini? Kwani Watoto ni WA nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…