Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa


Usipende kuwatisha wasio oa. Hayo uliyoyataja ni mambo ya kawaida katika siku za maisha yetu. Cha msingi ni kuwa na mtazamo mzuri katika mambo yanayo kuzunguka. Ukiwa na uoni mzuti juu ya mwenzi wako, maisha yanakuwa burudani sana. Mfano unakuwa mtu wa kushughulika na mambo makubwa tu ya familia ukiwa kama mme. Achana na micromanagement, utaleta stress ndani. Kuna watu wanafuatil8a hata mambo madogo madogo kwa wake zao, mpaka wanawaona kama vile ni wezi au hata wanawaona kama wanga au wachawi vile. Kumbe yote ni jinsi anavyomuona mwenzi wake.
 
Dah!Cjui umewaza nini hata ukaridhia kutuwekea ukweli wote hapa yan. ni bila chenga. Kongole bibie.👏👐
 
Namwachia dronedrake
 
Mimi naona hajawatisha wasio oa bali kawatanabahisha mapema ili wasije shangaa watakapoingia kwenye ndoa na kukutana na makabiliano ya ana kwa ana na shetani halafu wakaanza kujua walikuwa hawajui. Wajiandae -huo mtanange ni wa viwango vya kimataifa.
 
Hata kama mkiwa mmeoana bikra wote mke na mume...

Mwamba shetani atakuja na tukio lake moja hata hiyo bikra hutaikumbuka...
Hamna nakuambia atashindwa kabla yaani knockout kabisa!!

Kwanini muunganiko utakua wa kweli kiasi kwamba mmoja akiugua na mwingine anaugua,mmoja akiumia moyoni wote mnaumia!!sijuinkama utanielewa!!

Kelele za nje mtazishinda na inawezekana wanamme au mke akakosa Tamaa kabisa ya kutoka nje!!

Usidharau purity Bond ni Bond yenye nguvu kuliko Diamond!!
 
Mfumo dume pia umekufa kwa sababu wanaune wa sasa hawatimizi wajibu wao kwenye familia zao kama Baba unakuta Mama ninmtafutaji pia tofauti na zamani Mama alikuwa wa nyumbani,mambo ya kisasa yanatugharimu
 
Natafuta mwanamke mmoja nimuoe ndoa ya mkataba. Mkataba utakuwa extended subject to performance.
Ndoa hizo zipo kwa wenzetu (sijazisikia hapa Tz) lakini shida (changamoto) katika ndoa hizo (changamoto kubwa)ni umri kwa wahusika na nini kifanyike endapo mmoja atakata moto akiwa bado yuko ndani ya Mkataba rasmi.
 
Kuna watu tabia zao ni mbovu hata kabla hajaoa wala kuolewa, Kwahiyo akiingia ndoani hakuna kitakachobadilika.

Hamjawahi sikia mtu anaambiwa yaani huyu kwa tabia zake sijui ataolewa/atamuoa nani. Sasa anatoka mtu huko hawajuani… hayawi hayawi kaolewa/kaoa. Shida walizokuwa wanazipata ndugu, jamaa, marafiki na majirani anahamishiwa “mwenza” na anatakiwa adeal nazo to the rest of his/her life. We kuweza??

Kuna watu wanatabia ngumu nyie acheni, sisi kuna shoga etu anaitwa M****** huwa tunamwambia M******* we utakuwa mchawi si bure!! Msichana ana tabia mbovuuuuuu! Mchoyo, msengenyaji, mchafu, mbinafsi, ana mdomo, mzururaji, controlling, manipulator, she knows it all , muongo kila kitu kibaya yeye, hanaga jema yule dada.

Sasa mtu kama huyu aolewe kweli jamani huyo shemeji hamna rangi ataacha ona.
 
Shetani wa ndoa ni tofauti na shetani wa ukiwa single...

Maana ukiwa single unakuwa huru, ila kwenye ndoa ni kifungo...
 
I second you, wikiend chukua kitu cha 30k kwa bili yangu. 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…