Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.
Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.
Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.
Donatila
Pole sana mkuuHapo kwenye mtakoma mkomae,nimecheka sana
Mana nilipita hapo kwa machozi,jasho na damu
Shetani ushindwe
Dah!Cjui umewaza nini hata ukaridhia kutuwekea ukweli wote hapa yan. ni bila chenga. Kongole bibie.👏👐Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.
Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.
Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.
Donatila
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unashangaa dada mzuri mbona ananipiga ngumi za mandonga..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namwachia dronedrakeHabari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.
Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.
Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.
Donatila
Mimi naona hajawatisha wasio oa bali kawatanabahisha mapema ili wasije shangaa watakapoingia kwenye ndoa na kukutana na makabiliano ya ana kwa ana na shetani halafu wakaanza kujua walikuwa hawajui. Wajiandae -huo mtanange ni wa viwango vya kimataifa.Usipende kuwatisha wasio oa. Hayo uliyoyataja ni mambo ya kawaida katika siku za maisha yetu. Cha msingi ni kuwa na mtazamo mzuri katika mambo yanayo kuzunguka. Ukiwa na uoni mzuti juu ya mwenzi wako, maisha yanakuwa burudani sana. Mfano unakuwa mtu wa kushughulika na mambo makubwa tu ya familia ukiwa kama mme. Achana na micromanagement, utaleta stress ndani. Kuna watu wanafuatil8a hata mambo madogo madogo kwa wake zao, mpaka wanawaona kama vile ni wezi au hata wanawaona kama wanga au wachawi vile. Kumbe yote ni jinsi anavyomuona mwenzi wake.
Hamna nakuambia atashindwa kabla yaani knockout kabisa!!Hata kama mkiwa mmeoana bikra wote mke na mume...
Mwamba shetani atakuja na tukio lake moja hata hiyo bikra hutaikumbuka...
Hajasingiziwa. Anaitwa kwa jina lingine ni "YULE MWOVU" anapanda magugu kwenye shamba lililopandwa ngano. Tafakari hapo.Mnamuonea sana Shetani.
MATENDO YENU WENYEWE MNASINGIZIA SHETANI.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mfumo dume pia umekufa kwa sababu wanaune wa sasa hawatimizi wajibu wao kwenye familia zao kama Baba unakuta Mama ninmtafutaji pia tofauti na zamani Mama alikuwa wa nyumbani,mambo ya kisasa yanatugharimuKilichoua mfumo dume sio Ukristo ndugu,ni mambo ya Beijing ndio yameua hiyo kitu,hii hatimaye imezaa feminism duniani,kwahiyo ukienda kokote pale duniani mfumo dume unayumba sana,ingawa kidogo wenzetu waarabu wameweza kukomaa lakini tayari wameshaanza kuyumbishwa,nadhani ulisikia maandamano makubwa yaliokuwa yanatokea kule Iran,ule ni mwanzo tu,soon watakuja huku tuliko...
Ndoa hizo zipo kwa wenzetu (sijazisikia hapa Tz) lakini shida (changamoto) katika ndoa hizo (changamoto kubwa)ni umri kwa wahusika na nini kifanyike endapo mmoja atakata moto akiwa bado yuko ndani ya Mkataba rasmi.Natafuta mwanamke mmoja nimuoe ndoa ya mkataba. Mkataba utakuwa extended subject to performance.
Shetani wa ndoa ni tofauti na shetani wa ukiwa single...Kabla sijaoa nishaonana na shetani live mara kadhaa kwa hio nilishapiga Tizi la kutosha ndani huko kwenye ndoa Mimi na shetani tutakua tushazoea yaan ni washkaji kabisa tunapiga story vipi wewe bado hujakutana nae live? Namaanisha Mimi na shetani ni washkaji asipopokea simu siku nzima simuulizi yaweza kua muda huo alikua anapiga story na shetani au shetani anamgonga Mimi hainihusu shetani nishamzoea na tabia zake za kishetani Ila tu nisimfume red handed akiwa na mke wangu nitamrudisha motoni
Unasubiri mpaka uingie kwenye ndoa ndio ukutane na shetani? Wenzio kila siku tunapishana nae na tunaishi nae
Usiogope, muachie Mungu yote anayewaza...Yaani hizi mada zinatia woga sana yaani kila nikisoma masuala ya ndoa huwa napata woga kiasi kwamba najikuta namuhadithi mwenzangu
Uzuri na yeye anaelewa anachonishauri nitulize kichwa hatutokuwa kama wengine nikizidi kuwaza nitapata woga
I second you, wikiend chukua kitu cha 30k kwa bili yangu. 😀Shetani Hayupo.
Ubinafsi,Tamaa, mipango mibovu, ujinga n.k ndio vyanzo vya matatizo mengi ndoani.
Chanzo cha matatizo kwenye ndoa ni wanandoa wenyewe na tabia zao.
Shetani ni Fictional character anayetumiwa kama kichaka cha kukwepa uhalisia wa Tabia mbovu za wanandoa kiujumla.
Usikute Glenn ni mwenzetu katika ile kampeni pendwa sema low key 😁anabuy timenishamuelewa hajaoa huyo
Hahaha, ikichomoka anafanyaje!!!!Hapo kwenye kuchepuka tu ndo shetani anakomoa kwenye ndoa. Lakini mengine ni shega tu.
Wee fikiria mke wako anachepuka anagongwa nje ikichomoka anairudisha kwa kuchomeka.
Yani hapo ze devoo anaumiza kichizi.