Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mzee nafikiri aliyekuzaa, sijaandikisha umri popote acha kiherehere😂😂umeoa mzee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee nafikiri aliyekuzaa, sijaandikisha umri popote acha kiherehere😂😂umeoa mzee?
Hii comment inahatarisha usalama wa tasnia ya ndoaNdoa ni utapeli kama utapeli mwingine.
Mwanaume hana anachofaidi kwenye ndoa zaidi ya kuuza na kuweka rehani uhuru wake, maisha yake na maendeleo yake.
Mwanaume kataa ndoa kadri uwezavyo.
UMEGUSA WENGI[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mwanamke ulikuwa unamuona kama malkia,ghafla unaona unaishi na shetani,mpk unajiuliza hivi wakati namchagua huyu nilikuwa nimelogwa...
Umeongea ukweli mtupuHapa katafutwa mbuzi wa kafara kabatizwa Jina la SHETANI. Kiasili binadamu hajaumbwa amchukue binadamu mmoja duniani kote aishi nae kwa kigezo cha eti kuanzisha familia. Ndo maana hakuna kitu kigumu kama kulala kitanda kimoja na mtu ambaye mmekutana ukubwani kwa muda usiojulikana. Hata mama yako au kaka yako au dada yako mliyeshea ziwa la mama mmoja huwezi kuvumilia kulala naye chumba kimoja milele mpaka kifo kiwatenganishe. Vitabu vya dini vinatuongopea, ndo maana kipindi kitamu na kizuri cha mahusiano ni mkiwa kwenye uchumba, sababu Kila mtu anakaa kwake, mnakutana kwa ishu maalum au outing, saa nyingine weekend nzima pamoja jumatatu Kila mtu kwake. Na kipindi chote hicho kuna vitu huwezi kuvijua hata ufanyeje kwasababu kila mtu anaamkia kwake. Shida huwa inaanza baada ya honeymoon ndo kila mtu anajiachia, hapo mnamuingiza SHETANI kuhusika kumbe ndo mmeanza kujuana vizuri. Ndoa zote zilizodumu ukiacha za kuvumilia tabia za wazee wetu, ni zile ambazo wapenzi wameishi pamoja hata miaka 10 pengine hata na kupata watoto, halafu wanafunga ndoa baadae. Sababu hakuna aliyeigiza kabla ya kufunga ndoa. Hizi nyingine za mtu anaigiza Ili mfunge ndoa, baadae lazima mapichamapicha yaanze mkimbilie kusingizia SHETANI. SHETANI ni kichaka cha kutokukubali ukweli. Na jamii nzima imekubaliana na huo unafiki. Ndoa lazima litaendelea kuwa kaa la moto mpaka siku binadamu akiacha UNAFIKI.
Jibu swali acha kumpiga mkwara kijana wa watu😂Mzee nafikiri aliyekuzaa, sijaandikisha umri popote acha kiherehere😂😂
Unataka kumhurumia kama Manara?😂Jibu swali acha kumpiga mkwara kijana wa watu😂
Afu ke walivyo wajinga,apo anadhan Hujui kwamba she's there for moneyMimi ninavo muona wakwangu nikiishiwa pesa hamna hata aja ya kurudi nyumbani na potea mazima, kwasbb naona shetani wake anapendelea sana uchumi mzuri, siku ukipungua kdgo naona shetani anakuja kwa kasi......... loh. Kulea mtu ulio muona ukubwani ni zaidi ya mtihani.
Nikuhurumie wewe au mshamba_hachekwiUnataka kumhurumia kama Manara?😂
Hayo ni mawazo yako,Leo Mama Mchungaji umekuja kivingine kabisa. Hata sielewi ni ujumbe gani unataka kutuambia sisi watenda dhambi ambao hatujaokoka. Tusiingie kwenye ndoa ama? [emoji15]
nishamuelewa hajaoa huyoJibu swali acha kumpiga mkwara kijana wa watu😂
Kataeni ndoa na zinaa msiifanye ..Aiseee kwa hiyo mmekuja kwenye conclusion kuwa vijana wa kataa ndoa mliokuwa mnawaona vijana wa hovyo kumbe ni magenius kabisaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kujambiana mnajambiana wenyewe kwenye ndoa, halafu mkiipata harufu ya ushuzi,mnamlaumu Shetani ambaye hata hayupo kuwa ndiye kajamba!Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.
Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.
Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.
Donatila
Shetani ni chaka la kufichia habari zote za kukosa uwajibikaji kwa watu binafsi.Mnamuonea sana Shetani.
MATENDO YENU WENYEWE MNASINGIZIA SHETANI.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Inachekssha lakini ni ukweli mtupuHabari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.
Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.
Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.
Donatila
Mkuu unatushauri nini vijana tunaotaka kuingia huko? Maana sina muda nataka nifanye yangu😄😄😄😄Mwanamke ulikuwa unamuona kama malkia,ghafla unaona unaishi na shetani,mpk unajiuliza hivi wakati namchagua huyu nilikuwa nimelogwa...
Mtangulize Mungu katika kila hatua,ili uweze kumpata mke mwema,NA katika kila hatua ya maisha yako mshirikishe Mungu,bila kusahau kuishi maisha yenye kumpendeza yeye maana kinyume cha hapo shetani hatakuacha salama...Mkuu unatushauri nini vijana tunaotaka kuingia huko? Maana sina muda nataka nifanye yangu
Shukrani mkuu ntajitahidi kuyaishi hayoMtangulize Mungu katika kila hatua,ili uweze kumpata mke mwema,NA katika kila hatua ya maisha yako mshirikishe Mungu,bila kusahau kuishi maisha yenye kumpendeza yeye maana kinyume cha hapo shetani hatakuacha salama...
Kabla sijaoa nishaonana na shetani live mara kadhaa kwa hio nilishapiga Tizi la kutosha ndani huko kwenye ndoa Mimi na shetani tutakua tushazoea yaan ni washkaji kabisa tunapiga story vipi wewe bado hujakutana nae live? Namaanisha Mimi na shetani ni washkaji asipopokea simu siku nzima simuulizi yaweza kua muda huo alikua anapiga story na shetani au shetani anamgonga Mimi hainihusu shetani nishamzoea na tabia zake za kishetani Ila tu nisimfume red handed akiwa na mke wangu nitamrudisha motoniIngia kwenye ndoa umuone shetani live.
Shoga najua unaingia soon...
Karibu ndani mama