Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.

Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.

Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.

Donatila
Kwakwel tunahitaji kuomba sana.
 
Haha

Hahahahaha
Imenibidi nicheke tu
 
Kwa hivyo ama kwa tafsiri ingine ni kwamba
Funga ndoa uone yaliyomo mpaka sasa bado hujaona kitu 😂

Ila zipo ndoa zenye amani usiwakatishe amani watumishi wetu.
 
Tupia picha yake Mkuu,..
 
Suala la ndoa ni kama shule, Kuna mitihani na kila mtu ana swali lake kulingana na umri au darasa alilofikia. Tunachopaswa ni kuishi katika mema pamoja na wake/waume ambao tumejaliwa katika maisha yetu haya mafupi sana hapa duniani
 
Kwa hivyo ama kwa tafsiri ingine ni kwamba
Funga ndoa uone yaliyomo mpaka sasa bado hujaona kitu [emoji23]

Ila zipo ndoa zenye amani usiwakatishe amani watumishi wetu.
Siwakatishi tamaa, ila nawaambia ukweli mchungu... wasifikiri kule ni Raha tu na karaha zipo Tena karaha ni ni kiwango cha lami...
 
Jamaa alikomaa haswa akisema nyumba ni za watoto lakini ilishindikana

Huyo maza anasema sahv eti mali ni za wazaz hvyo watoto watafute zao
Wazazi wa nani? Kwa sheria zipi? Shida hana pesa huyo Jamaa ndio maana sheria imepindishwa.

Mwisho Ukiwa na Mali andikosha majina ya Wazazi na hata hizo Hati hakikisha unazitunza sehemu tofauti Ili hata ikija kutokea la kutokea isiwezekane kuziuza by anyside.
 
Back
Top Bottom