Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sipo tayari kwa namna yoyote ile.Huko nchini Papua Guinea kuna kabila linaitwa Dani ambalo mwanaume anapotaka kuoa, sharti akate kidole chake cha mkono wa kulia na kumpelekea mkewe mtarajiwa kama sehemu ya mahari na upendo wake wa dhati kwake.
Na kama mwanaume anataka kumpa talaka mkewe, pia ni sharti akate vidole vyake viwili vya mkono wa kushoto kama takwa la talaka.
Na kama mume akifa, mkewe ni sharti akate vidole vyake vyote vya mikono kama ishara ya upendo na uaminifu na kiapo kwake kuwa hataolewa na mwanaume mwingine tena baada ya mumewe kufa.
View attachment 2329433
Naona kama unatudanganya, facts zinaonesha kuwa , watu wa Papua New Guinea hukata vidole vyao wanapofiwa na mwana familia.Huko nchini Papua Guinea kuna kabila linaitwa Dani ambalo mwanaume anapotaka kuoa, sharti akate kidole chake cha mkono wa kulia na kumpelekea mkewe mtarajiwa kama sehemu ya mahari na upendo wake wa dhati kwake.