ndenjii handsome
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 646
- 709
Kuna jamaa yangu alikuja kuniomba shilingi 50000 nikamuuliza una shida nayo ipi kiufupi hakuwa na jibu la maana maelezo yalikuwa mengi sio siri nikamwambia sina kumbe hela ipo ila hakunishawishi kumpatia.
Alafu kuna mwingine alikuja kwangu ana kiwanja anauza tukaenda kukicheki akanionyesha kila kitu bas akaniambia anaomba kwanza laki moja anashida ya chap, kiufup nikampa bas end the day kumbe kilishauzwa ila jamaa tu shida zilimbana akaamua kuniplania.
Nilipokutana nae alinichana asee nilifurah sana nikasema jamaa kichwa sana nikampa tena k50 na kumpa ajira kwenye kampuni yangu na amekuwa msaada mkubwa sana kwenye kampuni.
Kwa mifano hiyo[emoji121][emoji121] nazani umepata picha.
Huwa nashangaa sana mtu unakuja mtandaoni unaomba hela eti hujala
Kwahal hiyo huwezi pata hata kama kweli unashida naanzaje kukupa? Wakati najua kabisa huna kitu kitachonishawishi kukusaidia kama shida kila mmoja anazo zaid unajidhalilisha bure dunia imebadilika hiyi mambo ya kuomba ya baki kwenye ngaz ya mtaa na majirani.
Na tabia ya muombaji ukimpa jua kila siku ni kuomba na anakuwa mvivu bora tapeli anakuliza mara moja afu huyo hamjuani tena
NB ni mawazo yangu kwenu wana JF