Ukitaka kupewa chakula cha usiku bila kukiomba directly, unafanyaje?

Ukitaka kupewa chakula cha usiku bila kukiomba directly, unafanyaje?

Oya mwamba njoo uipige bas
68295d277a3030f80b4326fe62da61a2.jpg
 
Leo mambo mengi sana humu mara kafara, mara watoto kupigwa, karibuni tujipumzishe jamvini.

Ikiwa umenuniwa na bebi wako au umefanya msala au hujisikii tu kuliomba tendo directly ila hamu imekukaba, huwa unafanyaje?

Mimi huwa namwambia, mgongo umekaza naomba animassage, sisubirigi jibu, nachojoa tu viwalo najilaza kitandani au chini. Haijawahi kufeli, kila massage huwa inaishia na kuliwa mbususu tu, baada ya hapo hata kama ana mnuno wake unakua umeishia hapo.

Nyie wakaka na wadada huko kwenu huwa mnafanyaje?

View attachment 3242123
We jipakulie tu.
 
Back
Top Bottom