Ukitaka kupewa chakula cha usiku bila kukiomba directly, unafanyaje?

Ukitaka kupewa chakula cha usiku bila kukiomba directly, unafanyaje?

Kuomba mbususu kinyonge nako jau, ila akiwa kaninunia nalia lazima tu asogee kuuliza shida nini naongeza kilio, halafu nakuwa normal naanza kumcheka haha kumbe unajali eh atarusha kakofi kauchokozi "sitaki bwana mambo yako" namjibu "unataka tu unavunga"
Itaendelea....
Tuko hapa tunasubiri mwendelezo
200.gif
 
Natamani ningekua Moderator , You'd never see JF again for the rest of your life.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naona unateseka 😆

Kaombe kazi, wanaweza kukuajiri kijana, then utanipiga ban!
Hapa katikati ulikua wapi mbona sahivi umekuja kwa kasi sana au ulikua jela? Maana upo jf tangu 2011 ila mbwembwe zako nimeziona zaidi hizi wiki mbili
 
Hapa katikati ulikua wapi mbona sahivi umekuja kwa kasi sana au ulikua jela? Maana upo jf tangu 2011 ila mbwembwe zako nimeziona zaidi hizi wiki mbili
Hehehehehehehehehehehehehehehehe!!!!!!!!!!!!!!!!°
 
Hapa katikati ulikua wapi mbona sahivi umekuja kwa kasi sana au ulikua jela? Maana upo jf tangu 2011 ila mbwembwe zako nimeziona zaidi hizi wiki mbili
Nilikua vitani, conflicts za after september 11, now nimestaafu
 
Back
Top Bottom