Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
- Thread starter
- #41
Kochi la mdinyo, inapendeza ☺️Kuna kikochi chetu chumbani wenyewe tunapigiaga love story zetu na kunywea kahawa hapo!!
Tukikaa hapo hakuna ugomvi unaendelea!! Nahisi huwa kinatumika zaidi kwenye mdinyo kuliko hata kitandani!!