Ukitaka kupewa chakula cha usiku bila kukiomba directly, unafanyaje?

Ukitaka kupewa chakula cha usiku bila kukiomba directly, unafanyaje?

🤣🤣🤣Huyu siyo mlokole bhana...
Mnataka tuwe tunasema "we baba mwantumu njoo tufanye tendo la ndoa" huku nimepiga Magoti?
Hahahaha niliyasoma maandishi nikayajengea sauti ile ya kukaza “oya mwamba….” Sasa hapo mwamba atahisi anaenda mkaza mwamba mwenzake.
 
Leo mambo mengi sana humu mara kafara, mara watoto kupigwa, karibuni tujipumzishe jamvini.

Ikiwa umenuniwa na bebi wako au umefanya msala au hujisikii tu kuliomba tendo directly ila hamu imekukaba, huwa unafanyaje?

Mimi huwa namwambia, mgongo umekaza naomba animassage, sisubirigi jibu, nachojoa tu viwalo najilaza kitandani au chini. Haijawahi kufeli, kila massage huwa inaishia na kuliwa mbususu tu, baada ya hapo hata kama ni ana mnuno wake unakua umeishia hapo.

Huko kwenu huwa ikoje?

View attachment 3242123
Mpe elfu 3 ya kuoshea nywele
 
Back
Top Bottom