Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Na mimi nilikuwa nafikilia the same. Kuna news za maana kabisa hazina watu, kuna zile za kipuuzi ndio zina achangiaji na followers kibao. Anyway kwa sababu tunapenda mambo ya kipuuzi
 
Punguza makasiriko 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…