Ukitaka kupima umakini wa mtu kwenye mambo mengine angalia anavyoegesha gari

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Salamu Wanabodi,

Ukitaka kupima umakini wa mtu kwenye mambo mengine angalia anavyoegesha gari na pia anavyoendesha utagundua huyu ni mtu wa namna gani.

Mara nyingi mtu aliyemakini barabarani au akiegesha gari, anakuwa pia makini katika mambo mengine kama kufanya maamuzi.


 
Acha porojo wewe Umakin huangaliwa kwenye kufanya Maamuzi (Decision making) kiuchumi, kisiasa na kijamii Kuanzia level ya Household mpaka Taifa na siyo habar ya kuegesha gari..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…