kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Ukitaka kujua mkazi wa Mamba-Myamba angalia miguu yake kuanzia magotini kwenda chini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee bwashee, mambo mengine haifai kuleta humu mtandaoni, ni siri ya watu mwenyewe aisee!!Tusio na magari tutaambiwa waangalie "Dental Formula" yaani mpangilio wa meno mdomoni
146 na 147 ndiyo madereva wengine wababaishajiSalamu Wakuu,
Ukitaka kupima umakini wa mtu kwenye mambo mengine angalia anavyoegesha gari na pia anavyoendesha utagundua huyu ni mtu wa namna gani.
Mara nyingi mtu aliyemakini barabarani au akiegesha gari, anakuwa pia makini katika mambo mengine kama kufanya maamuzi.
View attachment 1886872
Anavyoegesha.Ambao hawaendishi tunawapimaje Bwana Mbegu!
Yaani nyie mnaenda motoni nakwambia[emoji3][emoji3][emoji3]Ina maana tusio na magari ni watu wa hovyo moja kwa moja [emoji23]
Hadi kulipata hilo gari, tayari ni umakini wa hali ya juu katika maishaSalamu Wakuu,
Ukitaka kupima umakini wa mtu kwenye mambo mengine angalia anavyoegesha gari na pia anavyoendesha utagundua huyu ni mtu wa namna gani.
Mara nyingi mtu aliyemakini barabarani au akiegesha gari, anakuwa pia makini katika mambo mengine kama kufanya maamuzi.
View attachment 1886872
Yaani nyie mnaenda motoni nakwambia[emoji3][emoji3][emoji3]
Dunia imeji-impeach
Mimi ni wa hovyo
Huu uzi[emoji3525][emoji3525][emoji3525]Salamu Wakuu,
Ukitaka kupima umakini wa mtu kwenye mambo mengine angalia anavyoegesha gari na pia anavyoendesha utagundua huyu ni mtu wa namna gani.
Mara nyingi mtu aliyemakini barabarani au akiegesha gari, anakuwa pia makini katika mambo mengine kama kufanya maamuzi.
View attachment 1886872
Watu wanabisha tu lakini hapo kwa uegeshaji huo unaweza kuja na ujumbe kama vile:Nakubaliana na wewe asilimia 80 aisee
😅😅😅😅😅 hampo makini yaniIna maana tusio na magari ni watu wa hovyo moja kwa moja [emoji23]
Mtu ambae hajali mambo madogo kama hayo hata kupiga indicator light anapokunja hawezi kuaminiwa ktk mambo makubwa. Watu wanaojali mambo yanayoonekana kuwa madogo huwa makini sana wanapopewa mambo makubwaAcha porojo wewe Umakin huangaliwa kwenye kufanya Maamuzi (Decision making) kiuchumi, kisiasa na kijamii Kuanzia level ya Household mpaka Taifa na siyo habar ya kuegesha gari..