Ukitaka kupima umakini wa mtu kwenye mambo mengine angalia anavyoegesha gari

Mtu asiye makini ni kama mleta mada anayefanya kila kitu kwa ujumla wakati watu ni tofauti. Mimi nasema huyo aliyepaki gari ni learner na ndio kwanza kaendesha hilo gari aina hiyo hajawahi liendesha.

Ukizoea Renault Kwid kisha ukapewa daladala uipaki huwezi fanya vema kama dereva wa daladala
 
Ambao hawaendishi tunawapimaje Bwana Mbegu!
Sisi mbao huwa hatuendeshi, tunaweza kuwapima wale ambao huwa wanaoendesha kwa kuwauliza maswali; kwamba je, wanapokuwa wamefika kwenye parking, huwa wanapakije magari yao? Huwa wanapaki vizuri au vibaya?. Mimi tayari nimeshamuuliza swali hili mleta uzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…