Ukitaka kupima umakini wa mtu kwenye mambo mengine angalia anavyoegesha gari

Ukitaka kujua mkazi wa Mamba-Myamba angalia miguu yake kuanzia magotini kwenda chini!
 
146 na 147 ndiyo madereva wengine wababaishaji
 
Kwa hiyo wanawake hawako makini, maana kuna parking yao niliona walikuwa wanahudhuria mkutano wao wa mwaka ni kama magari yamerundikwa hivi......
 
Hadi kulipata hilo gari, tayari ni umakini wa hali ya juu katika maisha
 
Huu uzi[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
 
Wasio na magari huwa tunaangalia mke/dem aliyekuwa nae na kwa ambaye ni bachela na Hana Gari huwa tunaangalia how often he/she mustabate
 
Nakubaliana na wewe asilimia 80 aisee
Watu wanabisha tu lakini hapo kwa uegeshaji huo unaweza kuja na ujumbe kama vile:
• Uzembe
• Kutokujali
• Kukosa umakini
• Uholela katika kutenda mambo
• Hata uchafu!
• IQ ndogo/ akili ndogo

Watu wamechukulia huu uzi kipoapoa lakini wafahamu huyo jamaa huwa anaegesha hivyo mara nyingi yuko rafu
 
Acha porojo wewe Umakin huangaliwa kwenye kufanya Maamuzi (Decision making) kiuchumi, kisiasa na kijamii Kuanzia level ya Household mpaka Taifa na siyo habar ya kuegesha gari..
Mtu ambae hajali mambo madogo kama hayo hata kupiga indicator light anapokunja hawezi kuaminiwa ktk mambo makubwa. Watu wanaojali mambo yanayoonekana kuwa madogo huwa makini sana wanapopewa mambo makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…