Mtu asiye makini ni kama mleta mada anayefanya kila kitu kwa ujumla wakati watu ni tofauti. Mimi nasema huyo aliyepaki gari ni learner na ndio kwanza kaendesha hilo gari aina hiyo hajawahi liendesha.
Ukizoea Renault Kwid kisha ukapewa daladala uipaki huwezi fanya vema kama dereva wa daladala