Product yake ipoje i mean wasanii wake wakoje na ameondoka kuelekea wapi na mafanikio yake ndani ya label yalikuaje msanii gani wa label yenu mwenye hata nyumba yake anaishai zaidi ya diamond kwenye hii record label kubwa africaMarvin zamani na juzi Tiwa Savage kaondoka sasa hivi YBNL ya alamide,Starboy ya Wizkid na label ya David kuna dogo Mayorkun yupo Vizuri sana,Marvin hawapo vizuri kwa sasa.
tuliza kalio hilo mtahangaika sana ila wcb no moto mwingine uleSasa malalamiko ya nn kama wapo top kaka me hapo ndo napata tabu...nyamazeni pigen kaz huenda hamjatengwa ila kwa kuwa mpo top wenzenu mewaacha mbaaaaaaaalai sana so hamjatengwa ni umbali tu mlowaacha wenzenu NAOMBA MSILALAMIKE JAMANI.
Well said!Mimi namshauri Diamond ikiwezekana anunue hisa RFA Mwanza ili aweze pambana na hao mabwana vizuri.
Nitajie waliobaka na mafanikio yao,Koredo bello kadrop,Rekado bank kadrop Dr Sid Kapotea kabisa kama unabisha fuatilia top ten ya nyimbo mara kwa mara MTV Africa na kuna kipindi spesho zinagongwa nyimbo za Nigeria tu angalia hata hiyo playlist ndio utagundua.Product yake ipoje i mean wasanii wake wakoje na ameondoka kuelekea wapi na mafanikio yake ndani ya label yalikuaje msanii gani wa label yenu mwenye hata nyumba yake anaishai zaidi ya diamond kwenye hii record label kubwa africa
Timu Kiba acha presha. Hayo ni matokeo ya mtu mmoja mmoja kwahiyo ulitegemea Diamond awajengee nyumba? Acha chukiProduct yake ipoje i mean wasanii wake wakoje na ameondoka kuelekea wapi na mafanikio yake ndani ya label yalikuaje msanii gani wa label yenu mwenye hata nyumba yake anaishai zaidi ya diamond kwenye hii record label kubwa africa
Ni kweli ulichoongea wcb wanafanya mziki mzuri hata me mwenyewe napenda miziki yao ndo maana wapo on top lkn uwezi kudharau mchango wa mashabiki zao ambao wapo wengi Sana wanaowasapoti wasanii wengine wanashindwa sometimes cos wanamashabiki wachache mfano rich mavoko wa wcb ngoma zake zilikuwa Zina hit sana lkn Sasa hiv hazifanyi vizuri unajua sababu gani? Jibu unalo ebu mwangalie barnaba ana kipaji kizuri lakini ajawahi kuwa top sababu gani? jibu unalo mwingine Belle 9 nae tatizo lilelile.kingine ninakiona binafsi pia wanajua kujibrand kuliko wasanii wengine Kuna vitu vingi Sana vinavyowafanya wcb wawe juu.Mimi huwa sina timu ila napenda muziki mzuri. Wasanii kinachowabeba ni kuimba muziki mzuri na siyo vinginevyo. WCB wanaimba muziki mzuri ndiyo maana wapo kwenye chati. Unajua kuna watu wanaongozwa na ushabiki na hisia.
Muziki mzuri ndiyo unaowabeba WCB na si kingine.
Kupotea wanaweza kuwa wamepotea lakin sio wakuwalinganisha kimafanikio na wcb nakuhakikishia ipo siku utakuja kusikia wanalalamika wananyonywa kwamba kazi zao zote ni kwa ajili ya kukuza kampuni na hivi hawana share kazi kutaja wasafiii watalia machozi wakiwaona wakina Mr. Blue kwenye nyumba zao wakina barnaba kwenye nyumba zao hawana stressNitajie waliobaka na mafanikio yao,Koredo bello kadrop,Rekado bank kadrop Dr Sid Kapotea kabisa kama unabisha fuatilia top ten ya nyimbo mara kwa mara MTV Africa na kuna kipindi spesho zinagongwa nyimbo za Nigeria tu angalia hata hiyo playlist ndio utagundua.
Umemaliza Kila kitu big upHahahaaaa!! Sina kama kuna lebo kubwa Africa kama WCB.Pia WCB wanawaza kufanya kazi na wasanii wa kimataifa zaidi. WCB empire 4life
Jiheshimu kidogo kaka mkubwa maana ya kuimba au kufanya kazi ni mafanikio kama unatumia akili sio FAME ukisema kazi yako wcb ni kutoa nyimbo nzuri ila kipato wanafaidi diamond managers pamoja na kampuni hata familia itakushangaa ndio maana wanapoozwa kwa kupangiwa nyumba ili usipate kuhoji lini utakua na maamuzi ya hela zako ujenge nyumba yako mwenyeweTimu Kiba acha presha. Hayo ni matokeo ya mtu mmoja mmoja kwahiyo ulitegemea Diamond awajengee nyumba? Acha chuki
KUIMBA MUZIKI MZURI NDIYO KINACHOWABEBA WASANII WOTE NA SIYO JINA. Kama unafikiri ukishika mic utajulikana ingia studio na wewe imba tukusikie. Wasanii wa siku hizi wanafikiri kupitia matako ndiyo maana wameshikwa makalio na B12 huku wamesahau kuwa MUZIKI MZURI ndiyo utakubeba.
WCB wameshajua watu wanataka muziki mzuri ndiyo maana wamekaza hapo. Wao waendelee kufanya chuki na kampeni za kijinga halafu mwisho wa siku ndiyo watajua kuwa walikuwa wanapoteza nguvu.
KUWAANGUSHA WCB NI KUIMBA MUZIKI MZURI KUSHINDA WAO. HIYO NDIYO DAWA TOFAUTI NA HAPO HAWATAWEZA
Asipokuelewa hapo Basi atakuwa anamatatizo ya akiliNitajie waliobaka na mafanikio yao,Koredo bello kadrop,Rekado bank kadrop Dr Sid Kapotea kabisa kama unabisha fuatilia top ten ya nyimbo mara kwa mara MTV Africa na kuna kipindi spesho zinagongwa nyimbo za Nigeria tu angalia hata hiyo playlist ndio utagundua.
Ikiwa Diamond akiwaonyeshea nyumba yake hamuamini,akiwaonyesha msanii wake mtamwamini.Ila kama ujui Tetema imekuwa streamed Spotify kwa miezi miwili mara million 1.2 mpaka sasa ina miezi mitano ,sasa mtu kama huyu atashindwa kumiliki nyumba.
Tatizo mnawachukia sana WCB mpaka mnashindwa kuona ukweli,ila siku zote ukweli utabaki kuwa ukweli ukitaja label tano za Africa WCB wamo,Rayvanny ana show ya essence festival ambayo ndani yake itajumuisha akina pharell,Timberland,Nas ,Mary J Bridge Marekani,ana show Ureno ambayo ndani yake yupo Steflon Don wa Jamaica,Diamond na Harmonize wana show za One Africa miji ya London,Dubai na New York mpaka hapo utapata picha halisi ya ukubwa wa WCB.
Usipime vitu kwa kuongozwa na hisia na ukasahau UHALISIA,hata usipoongea ww ila ukweli hautobadilika.
Kupotea wanaweza kuwa wamepotea lakin sio wakuwalinganisha kimafanikio na wcb nakuhakikishia ipo siku utakuja kusikia wanalalamika wananyonywa kwamba kazi zao zote ni kwa ajili ya kukuza kampuni na hivi hawana share kazi kutaja wasafiii watalia machozi wakiwaona wakina Mr. Blue kwenye nyumba zao wakina barnaba kwenye nyumba zao hawana stress
"Ikiwa Diamond akiwaonyeshea nyumba yake hamuamini,akiwaonyesha msanii wake mtamwamini."hujanijibu hili swali.Kupotea wanaweza kuwa wamepotea lakin sio wakuwalinganisha kimafanikio na wcb nakuhakikishia ipo siku utakuja kusikia wanalalamika wananyonywa kwamba kazi zao zote ni kwa ajili ya kukuza kampuni na hivi hawana share kazi kutaja wasafiii watalia machozi wakiwaona wakina Mr. Blue kwenye nyumba zao wakina barnaba kwenye nyumba zao hawana stress
Diamond nyumba zake zote naamini toka amepanga pale sinza akaanza kujenga madale na hiyo alionunua SA naamini sana maana alikua kijana mwenye vision na mission ila uongozi wake wa sasa umewafunga wenzake wasiwe na hayo mafanikio"Ikiwa Diamond akiwaonyeshea nyumba yake hamuamini,akiwaonyesha msanii wake mtamwamini."hujanijibu hili swali.
Umejuaje kama kawafunga?Diamond nyumba zake zote naamini toka amepanga pale sinza akaanza kujenga madale na hiyo alionunua SA naamini sana maana alikua kijana mwenye vision na mission ila uongozi wake wa sasa umewafunga wenzake wasiwe na hayo mafanikio
Kuna wasanii wanafanya muziki ili wawe maarufu na wengine wanafanya muziki ili wapate pesa. Ukifanya muziki ili upate pesa utaumiza kichwa ufanye nini ili utoboe kwenye muziki ili upate pesa mpaka za kutoka nje. Ndiyo hapo utatumia njia mbali mbali ili uweze kuutangaza muziki wako.Ni kweli ulichoongea wcb wanafanya mziki mzuri hata me mwenyewe napenda miziki yao ndo maana wapo on top lkn uwezi kudharau mchango wa mashabiki zao ambao wapo wengi Sana wanaowasapoti wasanii wengine wanashindwa sometimes cos wanamashabiki wachache mfano rich mavoko wa wcb ngoma zake zilikuwa Zina hit sana lkn Sasa hiv hazifanyi vizuri unajua sababu gani? Jibu unalo ebu mwangalie barnaba ana kipaji kizuri lakini ajawahi kuwa top sababu gani? jibu unalo mwingine Belle 9 nae tatizo lilelile.kingine ninakiona binafsi pia wanajua kujibrand kuliko wasanii wengine Kuna vitu vingi Sana vinavyowafanya wcb wawe juu.
Umejuaje hizo nyumba ni za diamondUmejuaje kama kawafunga?
Mbona ushajijibu mwenyewe tena,umetumia neno NAAMINI au hujui unachokiamini.Umejuaje hizo nyumba ni za diamond
Diamond nyumba zake zote naamini toka amepanga pale sinza akaanza kujenga madale na hiyo alionunua SA naamini sana maana alikua kijana mwenye vision na mission ila uongozi wake wa sasa umewafunga wenzake wasiwe na hayo mafanikio
Simple naamini amewafunga wasiwe nazoMbona ushajijibu mwenyewe tena,umetumia neno NAAMINI au hujui unachokiamini.
Wewe umesema kawafunga wasanii wake nikakuuliza "kawafungaje na umejuaje?"
Tatizo unatumia hisia na chuki ndiyo maana tunashindwa kuelewana. Unaonekana unachuki binafsi siyo bure. Mnabidi mjipange sana na kina B12 kumuangusha Diamond. Kuwa na nyumba au kutokuwa hiyo wala haikuhusu. Kama wananyonywa si waondoke? Rich Mavoko mbona kaondoka kwani walimng'ang'ania?Jiheshimu kidogo kaka mkubwa maana ya kuimba au kufanya kazi ni mafanikio kama unatumia akili sio FAME ukisema kazi yako wcb ni kutoa nyimbo nzuri ila kipato wanafaidi diamond managers pamoja na kampuni hata familia itakushangaa ndio maana wanapoozwa kwa kupangiwa nyumba ili usipate kuhoji lini utakua na maamuzi ya hela zako ujenge nyumba yako mwenyewe