Nitajie waliobaka na mafanikio yao,Koredo bello kadrop,Rekado bank kadrop Dr Sid Kapotea kabisa kama unabisha fuatilia top ten ya nyimbo mara kwa mara MTV Africa na kuna kipindi spesho zinagongwa nyimbo za Nigeria tu angalia hata hiyo playlist ndio utagundua.
Ikiwa Diamond akiwaonyeshea nyumba yake hamuamini,akiwaonyesha msanii wake mtamwamini.Ila kama ujui Tetema imekuwa streamed Spotify kwa miezi miwili mara million 1.2 mpaka sasa ina miezi mitano ,sasa mtu kama huyu atashindwa kumiliki nyumba.
Tatizo mnawachukia sana WCB mpaka mnashindwa kuona ukweli,ila siku zote ukweli utabaki kuwa ukweli ukitaja label tano za Africa WCB wamo,Rayvanny ana show ya essence festival ambayo ndani yake itajumuisha akina pharell,Timberland,Nas ,Mary J Bridge Marekani,ana show Ureno ambayo ndani yake yupo Steflon Don wa Jamaica,Diamond na Harmonize wana show za One Africa miji ya London,Dubai na New York mpaka hapo utapata picha halisi ya ukubwa wa WCB.
Usipime vitu kwa kuongozwa na hisia na ukasahau UHALISIA,hata usipoongea ww ila ukweli hautobadilika.