Ukitaka kutengwa na wasanii jiweke karibu na WCB

😀😀😀😀😀😀😀😀 kuwa na nyumba wala kutokua nayo kwanza hainihusu na inabidi tujipange kumdondosha dogo ndo mnajiita die hard fan sawa mdogo wangu nimekuelewa lakin mazungumzo yote sijazungumzia kumdondosha wala hatujamtaja B12 naona kila comment unamtaja bado natafuta maana ya chuki binafsi na mfano wake kati yangu na wewe nani anachuki binafsi ushawahi nunua album hata ya diamond au ni hizi za kudownload
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha Naona unaanza kujichanganya taratibu "Kununua au kudownload? unataka ujue ili uvumbue nini? ha ha ha ha ha" Unatoka hili unaingia hili. Hayo wajua wewe lakini
MUZIKI MZURI NDIYO UTAKUFANYA UNG'AE NA MASHABIKI HUJA BAADA YA MUZIKI MZURI. TIMU KIBA na B12 bado mnakazi na mnapoelekea kubaya. Kinakuuma Rayvan hana nyumba diamond ana nyumba. Unataka upate maendeleo sawa na boss wako. ha ha ha ha ha
Mm sina timu yoyote ila napenda muziki mzuri. Hata wewe ukiimba muziki mzuri nitasikiliza kazi yako
POLE SANA. MTOTO WA KIUME UNAKUWA KAMA MTOTO KI///////KE. UNAMCHUKIA DIAMOND KISA RAYVAN HANA NYUMBA HA HA HA HA KAO///LEW NAYE HUENDA AKAKUJENGEA NYUMBA.
 
Hahahhaha kwa hiyo hawatakiwi kuwa na nyumba kutokana boss wao wananyumba akili za wapi hizo hahahab itabidi baba'ko aollewe naye kwanza ndipo nifuate
 
Hizi story zakuwa mnabase side moja sio nzuri, kinacho lalamimikiwa kwa clauds ndicho wanacho fanya pia WCB anae sikiliza redio zao na kupata bahati kuangalia tv yao, majibu anayo moyoni!! Wote ni walewale katika angle tofauti za kufanya biashara
 
Thanks kwa maelezo muruaaa
 
Hizi story zakuwa mnabase side moja sio nzuri, kinacho lalamimikiwa kwa clauds ndicho wanacho fanya pia WCB anae sikiliza redio zao na kupata bahati kuangalia tv yao, majibu anayo moyoni!! Wote ni walewale katika angle tofauti za kufanya biashara
Angalau wasafi wanapiga kila muziki wa msanii yeyote
 
Sawa Lukamba
 
Yaani Unayoyaongea hayafanani na profile picture yako. Muogope Allah kijana
 
Mimi mwenywe napenda niteteme nipande juu ya meza kwenye ile ngoma inaitwa time to party ya mr flavour ft diamond ninavokuwa nipo na jini classic nikigonga vyombo vya kwangwaru..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…