Ukitaka kutengwa na wasanii jiweke karibu na WCB

Ukitaka kutengwa na wasanii jiweke karibu na WCB

Tatizo unatumia hisia na chuki ndiyo maana tunashindwa kuelewana. Unaonekana unachuki binafsi siyo bure. Mnabidi mjipange sana na kina B12 kumuangusha Diamond. Kuwa na nyumba au kutokuwa hiyo wala haikuhusu. Kama wananyonywa si waondoke? Rich Mavoko mbona kaondoka kwani walimung'ang'ania?
Unalalamika kama unafanya kazi WCB
*Mbona Magufuli kafuta ajira? (Walimu na madaktari wapo kitaani hakuna ajira. Magu pesa zote kaenda kununulia ndege). Mbona haulalamika? unalalamika kwa watu ambao wanafanya muziki kupitia nyimbo zao na wapo huru kuhama muda wowote. Wenyewe waache kulala uje ulalamike wewe. WHO ARE YOU?
*Mbona Magufuli hajaongeza nyongeza ya mshahara na haujalalamika?
*Kuna watu wamepigwa risasi na kupotea mpaka leo hawajulikani walipo na hakuna kesi zao polisi wala mahakamani. Haujaona hilo?
WAACHE KULALAMIKA RAYVAN, HARMONIZE NA LAVALAVA. WEWE NDIYO ULALAMIKE? TETEMA KAMA UPIGWA SHOT, TETEMA KAMA UPIGWA ROBA.
Kiufupi UNACHUKI BINAFSI NA SI LOLOTE
😀😀😀😀😀😀😀😀 kuwa na nyumba wala kutokua nayo kwanza hainihusu na inabidi tujipange kumdondosha dogo ndo mnajiita die hard fan sawa mdogo wangu nimekuelewa lakin mazungumzo yote sijazungumzia kumdondosha wala hatujamtaja B12 naona kila comment unamtaja bado natafuta maana ya chuki binafsi na mfano wake kati yangu na wewe nani anachuki binafsi ushawahi nunua album hata ya diamond au ni hizi za kudownload
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha Naona unaanza kujichanganya taratibu "Kununua au kudownload? unataka ujue ili uvumbue nini? ha ha ha ha ha" Unatoka hili unaingia hili. Hayo wajua wewe lakini
MUZIKI MZURI NDIYO UTAKUFANYA UNG'AE NA MASHABIKI HUJA BAADA YA MUZIKI MZURI. TIMU KIBA na B12 bado mnakazi na mnapoelekea kubaya. Kinakuuma Rayvan hana nyumba diamond ana nyumba. Unataka upate maendeleo sawa na boss wako. ha ha ha ha ha
Mm sina timu yoyote ila napenda muziki mzuri. Hata wewe ukiimba muziki mzuri nitasikiliza kazi yako
POLE SANA. MTOTO WA KIUME UNAKUWA KAMA MTOTO KI///////KE. UNAMCHUKIA DIAMOND KISA RAYVAN HANA NYUMBA HA HA HA HA KAO///LEW NAYE HUENDA AKAKUJENGEA NYUMBA.
 
Hahahhaha kwa hiyo hawatakiwi kuwa na nyumba kutokana boss wao wananyumba akili za wapi hizo hahahab itabidi baba'ko aollewe naye kwanza ndipo nifuate
 
Hizi story zakuwa mnabase side moja sio nzuri, kinacho lalamimikiwa kwa clauds ndicho wanacho fanya pia WCB anae sikiliza redio zao na kupata bahati kuangalia tv yao, majibu anayo moyoni!! Wote ni walewale katika angle tofauti za kufanya biashara
 
Diamond hajajiweka mbali na Wasanii wenzake,hivi niambie msanii gani anaweza kukuunganisha na msanii mwengine wa nchi nyingine kama si Diamond ,mnyonge myongeni haki yake mpeni kwanza ww NAKUJUA HUMPENDI DIAMOND NA HUJAWAHI KUMPENDA.

Lakini Mh Temba kishwahi kukiri nyimbo yake na chege,Diamond ndiye aliyewaunganisha na Dj Maphorisa ,hivi nani kashawahi kufanya hivyo kwa wasanii wenzake?Shetta yule Mondi kamuunganisha na KCEE ktk Shikorobo hivi nani kashafanya kama hivi,Madee ana nyimbo yake kafanya na Techno Madee mwenyewe kwa Kinywa chake anamshukuru Diamond.Sasa Diamond angekuwa anajiweka mbali na wasanii hao akina Chege,Madee ,Temba na Shetta hizo collabo wangezipata?.

Mondi kamvimbia nani?au kutaka kutetea maslahi yako ndio kuvimba mbona hata akina Sugu na Jide washawahi kufanya kama Mondi au kafanya Mondi ndio tatizo.

Kijana mziki ni biashara kila mtu ana terms zake,kama hamtaelewana basi msiwekeane vinyongo,dogo Mondi mziki ni biashara yake mwacheni apange terms zake,kwani yy kawekeza hela yake,utake usitake hamna msanii mwenye Exposure kama Diamond,hajasoma lakini kupitia kutembea nchi nyingi kajifunza vitu vingi jinsi mziki unavyoendeshwa ktk nchi nyinginena tatizo washikadau wanataka kuendesha mziki KISHIKAJI na si KIPROFFESSIONAL (kibiashara)zaidi na dogo anachogombana nao mziki wake yy anautizama kama biashara.
Thanks kwa maelezo muruaaa
 
Hizi story zakuwa mnabase side moja sio nzuri, kinacho lalamimikiwa kwa clauds ndicho wanacho fanya pia WCB anae sikiliza redio zao na kupata bahati kuangalia tv yao, majibu anayo moyoni!! Wote ni walewale katika angle tofauti za kufanya biashara
Angalau wasafi wanapiga kila muziki wa msanii yeyote
 
Hakuna vitu kama hizo, tatizo huenda huna access ya Wasafi tv au Radio we're killing this shit! Business.

Wasafi kuna watu kama 10 wametoka CMG wapo pale kuna watu wasiopungu 5 wametoka Times FM, wawili kutoka IPP na DJ'S wakufa mtu.

Kuna dj Y.OB, dj jacko, dj, chocolate, dj lucky, dj seven, na wengine kama sita hivi damn hii biashara iko Wasafi sasa japo huwezi linganisha na Clouds fm inayopagika nchi nzima
Sawa Lukamba
 
Hii ndio habari iliyopo ,msanii yeyote ukitaka kutenge na media zingine na wasanii wengine jiweke karibu na record label ya WCB.
Dully Sykes amethibitisha Jana wakati anahojiwa na bongo5.,kuwa anachukiwa na wasanii wenzake kisa kuwa karibu na WCB.

Pia Niko karibu na baadhi ya wasanii wanakuambia live bifu ni kubwa chuki ni kubwa xana.
Mfano mzuri juzi hapa kiba aliulizwa kuhusu kukutana jukwaa1 na harmonize lakini cha kushangaza alikimbia camera., jambo la ajabu km ye anashida na diamond ,hamo anahusika VP.

Mapambano makali yakiongozwa na mtu1 anaitwa b12 yanaandiwa kuangalia namna ya kuidondosha WCB kwa vyovyote vile.
Mkakati1 wapo ni kupiga marufuku wasanii wakubwa wasishirikiane nao,pia kuhakisha makampuni hayafanyi udhamini kwa WCB.

Zamani shilole alikuwa close na WCB kapigwa mkwara amejiweka mbali kwa sasa.

Lakini kitu kinachokwamisha ni ili entertainment iende huwezi kuwakwepa WCB,mda ule wa kufanyana km watoto uungu MTU haupo tena.
Ndio maana WCB wana endorsement kubwa kwenye radio na wasanii wao.
Nawashauri wasanii waache chuki haisaidii hata kidogo.
Yaani Unayoyaongea hayafanani na profile picture yako. Muogope Allah kijana
 
Mimi mwenywe napenda niteteme nipande juu ya meza kwenye ile ngoma inaitwa time to party ya mr flavour ft diamond ninavokuwa nipo na jini classic nikigonga vyombo vya kwangwaru..
 
Back
Top Bottom