Ukitaka kutengwa na wasanii jiweke karibu na WCB

Nani?Hata kama tukimjua sio tatizo bali swala wasanii wenyewe wajitambue na wajue wanataka nini.
Unachongea ni sahihi kabisa,tatizo tayari chuki na fitina zimeenea kila kona na amewarithisha watu hizo chuki na fitina.Siyo TV,Radio,Magazeti,mitandao ya kijamii chuki zipo wewe hulioni hili?
 
Unachongea ni sahihi kabisa,tatizo tayari chuki na fitina zimeenea kila kona na amewarithisha watu hizo chuki na fitina.Siyo TV,Radio,Magazeti,mitandao ya kijamii chuki zipo wewe hulioni hili?
Naliona lakini kama wasanii wangekuwa na vision inayofanana kuhusu mziki wao nina uhakika hiyo mizengwe isingekuwa na athari zozote kwenye mziki wao,tatizo lao wamekubali wenyewe kugawanywa kwenye makundi.
 
Mashabiki wa WCB bwana ukiikosoa WCB basi una chuki binafsi asa kwan lazima kila mtu apende unachopenda wewe...wenyewe wanahisi WCB ndo wana haki yakupeeeenxwa na kusikizwa ila wengine hapana wasipendwe wala kusikizwa UJUHA HUO tena UZWAZWA
 
Like zipo 5 pale ulisema sitopata hata 2 nyau we...tatizo lenu mnalazimishwa mpendwe na kila mtu kwan ni lazima kila mtu apende WCB kaka?...wengine HATUWAELEWIIIIII MSITULAZIMISHE hatuwaelewi KUANZIA TUNGO ZENU HADI LIFE STYLE hatuwaelewi yani na mm n mmoja wapo siwaelewiiiii atlist RAYVAN waliobaki woooooooote MTANISAMEHE kwa kweli SIWAELEWIIIIIIII tungo hadi maisha wanayoishi.
 
Asa kaka watanzania tupo karibu mil 55 afu uanakuja kunipigia kelele kwa mtu mwwnye subscribers mil 2 UPO SAWA UPSTAIRS?...hiyo ni kama kuwa wa kwanza kwenue kundi la wasio na akili me nkajua ur going to talk of atleast 10 M subs.
Hivi utawezaje kuichunia WCB?
Boss wake ndiye mTZ anayeongoza kwa followers.
Wanamiliki YouTube channels mbili zenye subscribers wengi zaidi.

Wana media hivi una akili wewe?
 
Hivi mpaka anafanya nyimbo na Diamond Davido alikuwa na hit ngapi,ukiitoa GOBE na Skelewu alafu umfananishe na huyu wa sasa ambaye Ana utitiri wa tuzo kibao na hiti kibao.
Huyu wa sasa ALOTANGAZA KUFANYA KAZI NA ALI KIBA ana hits nyingi zaidi.
 
Hahah. Ile ya kiba kutoka mbio nilishangaa hata mimi. Ila mafanikio ya wcb ndio inwafanya wachukiwe.
 
Kasome tena nlichoandika kaka..
Diamond anafanya muziki wa biashara na anataka kuuza mpaka nje ya nchi. Hata kama mimi siwezi kufanya na kila msanii ili mradi anapesa ninazozitaka. Huko ndiko kujishusha chini wakati unataka kwenda juu.
Uwe unatumia kichwa kufikiri.
 
Wazee wa dorobuch hao fireeeeeee
Duuu nimeona nisikae kimya kwa hili, kijana fuatilia mziki usifuatilie ushabiki nenda kwenye browser yako andika Mavins Records then urudi kuandika upya
 
Kaka kizuri kwako siyo lazima kiwe kizuri pia kwa mwingine unatumia kichwa kipi kufikiri?
 
Na wabaki tu hivo hivo na mateso yao .. vijana wanatoboa kimataifa so Kenya .Burundi ..ulaya na kote huko hakuna clouds media mwisho wao ni bingoooooo .... Siku wcb wakitengwa na YouTube ao Instagraam ndo nitajuwa anguko lao limefika
 
WCB ni Kama maji ukishindwa kuyanywa basi utayapikia. Hawawezi tena shindana na Diamond, clouds wanafeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…