joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Nani?Hata kama tukimjua sio tatizo bali swala wasanii wenyewe wajitambue na wajue wanataka nini.Aliyetengeneza chuki fitina na wivu kwa wasanii unamjuaaaaaaaa???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani?Hata kama tukimjua sio tatizo bali swala wasanii wenyewe wajitambue na wajue wanataka nini.Aliyetengeneza chuki fitina na wivu kwa wasanii unamjuaaaaaaaa???
Unachongea ni sahihi kabisa,tatizo tayari chuki na fitina zimeenea kila kona na amewarithisha watu hizo chuki na fitina.Siyo TV,Radio,Magazeti,mitandao ya kijamii chuki zipo wewe hulioni hili?Nani?Hata kama tukimjua sio tatizo bali swala wasanii wenyewe wajitambue na wajue wanataka nini.
Naliona lakini kama wasanii wangekuwa na vision inayofanana kuhusu mziki wao nina uhakika hiyo mizengwe isingekuwa na athari zozote kwenye mziki wao,tatizo lao wamekubali wenyewe kugawanywa kwenye makundi.Unachongea ni sahihi kabisa,tatizo tayari chuki na fitina zimeenea kila kona na amewarithisha watu hizo chuki na fitina.Siyo TV,Radio,Magazeti,mitandao ya kijamii chuki zipo wewe hulioni hili?
Unalazimisha hisia zako ziaminike1000+Giant people behind him
Mzee baba ulichoandika hapa Ni sawa na ushuzi + mavi na sijui km huta pata hata like 2 hata watu kukuunga mkono Kwanza kabisa huweleweki unasimamia Nini kwenye hoja Cha pili umeonesha we Ni mashabiki wa kiba cha tatu umeongea vitu visivyo na uhasilia mzee kajipange tena ndo uje kucomment
Hivi utawezaje kuichunia WCB?
Boss wake ndiye mTZ anayeongoza kwa followers.
Wanamiliki YouTube channels mbili zenye subscribers wengi zaidi.
Wana media hivi una akili wewe?
Mtu aliyezaliwa na roho za kichawi chawi huwa hafurahii mafanikio ya watu wengine hata siku moja.
Huyu wa sasa ALOTANGAZA KUFANYA KAZI NA ALI KIBA ana hits nyingi zaidi.Hivi mpaka anafanya nyimbo na Diamond Davido alikuwa na hit ngapi,ukiitoa GOBE na Skelewu alafu umfananishe na huyu wa sasa ambaye Ana utitiri wa tuzo kibao na hiti kibao.
Hahah. Ile ya kiba kutoka mbio nilishangaa hata mimi. Ila mafanikio ya wcb ndio inwafanya wachukiwe.Hii ndio habari iliyopo ,msanii yeyote ukitaka kutenge na media zingine na wasanii wengine jiweke karibu na record label ya WCB.
Dully Sykes amethibitisha Jana wakati anahojiwa na bongo5.,kuwa anachukiwa na wasanii wenzake kisa kuwa karibu na WCB.
Pia Niko karibu na baadhi ya wasanii wanakuambia live bifu ni kubwa chuki ni kubwa xana.
Mfano mzuri juzi hapa kiba aliulizwa kuhusu kukutana jukwaa1 na harmonize lakini cha kushangaza alikimbia camera., jambo la ajabu km ye anashida na diamond ,hamo anahusika VP.
Mapambano makali yakiongozwa na mtu1 anaitwa b12 yanaandiwa kuangalia namna ya kuidondosha WCB kwa vyovyote vile.
Mkakati1 wapo ni kupiga marufuku wasanii wakubwa wasishirikiane nao,pia kuhakisha makampuni hayafanyi udhamini kwa WCB.
Zamani shilole alikuwa close na WCB kapigwa mkwara amejiweka mbali kwa sasa.
Lakini kitu kinachokwamisha ni ili entertainment iende huwezi kuwakwepa WCB,mda ule wa kufanyana km watoto uungu MTU haupo tena.
Ndio maana WCB wana endorsement kubwa kwenye radio na wasanii wao.
Nawashauri wasanii waache chuki haisaidii hata kidogo.
Hahahahaaa kwani lazima iwe sasa kaka ushatajiwa tulia au shida ionekane diamond kashinda?OK najua na asante kwa kunikumbusha ila mimi nimezungumzia kwa sasa nani anaweza kufanya.
Diamond anafanya muziki wa biashara na anataka kuuza mpaka nje ya nchi. Hata kama mimi siwezi kufanya na kila msanii ili mradi anapesa ninazozitaka. Huko ndiko kujishusha chini wakati unataka kwenda juu.
Uwe unatumia kichwa kufikiri.
Duuu nimeona nisikae kimya kwa hili, kijana fuatilia mziki usifuatilie ushabiki nenda kwenye browser yako andika Mavins Records then urudi kuandika upya
Mimi huwa sina timu ila napenda muziki mzuri. Wasanii kinachowabeba ni kuimba muziki mzuri na siyo vinginevyo. WCB wanaimba muziki mzuri ndiyo maana wapo kwenye chati. Unajua kuna watu wanaongozwa na ushabiki na hisia.
Muziki mzuri ndiyo unaowabeba WCB na si kingine.
Na wabaki tu hivo hivo na mateso yao .. vijana wanatoboa kimataifa so Kenya .Burundi ..ulaya na kote huko hakuna clouds media mwisho wao ni bingoooooo .... Siku wcb wakitengwa na YouTube ao Instagraam ndo nitajuwa anguko lao limefikaRuge Alikua ni boss wa clouds na Lawama zilikua zikimuangukia yeye. Yale yalikua maamuzi ya clouds hata baada ya kufa Ruge Diamond na Jide bado nyimbo zao hazipigwi clouds.
So tatizo halikua Ruge kama mtu Bali Ruge kama boss wa clouds. Na tatizo limebaki vilevile Labada mpaka uongozi wa clouds uamue kurekebisha mambo
Unadandia Gari kwa mbele hebu soma uelewe,kuna sehemu nimemtaja huyu jamaa yako au ww umempachika tu.Huyu wa sasa ALOTANGAZA KUFANYA KAZI NA ALI KIBA ana hits nyingi zaidi.
Kwani nani anashindana na Diamond?.Hahahahaaa kwani lazima iwe sasa kaka ushatajiwa tulia au shida ionekane diamond kashinda?