Ukitaka kutunza pesa yako

Ukitaka kutunza pesa yako

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Ukitaka kutunza pesa yako, jitahidi kuepuka hivyo vitu vitatu unavyoviona hapo kwenye picha.

#women #betting #alcohol

1725797590561.jpg
 
Unatunza hili iweje sasa? Hapo cha kuepuka labda betting, unapata hela hunywi wala hugongi sasa hela ya nini?
 
Mtaani kwetu kuna jamaa amevijumlisha vyoteee
Na anafuraha kuliko aloachana na ata kimojawapoo
 
Back
Top Bottom