Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 3,140
- 5,739
Ni kweli. Mimi toka nakua wanawake wa kijijini kwetu walikuwa wanajituma sambamba na wanaume. Eti niache kufanya kazi sababu mwanaume kasema. Mwanaume wa hivyo hata simtaki maana hajielewi.Bora mwanamke anayefanya kazi kuliko ambaye hafanyi. Tanzania ni maskini kwasababu ya kundi kubwa la wanawake ambao hawajishughulishi kiuchumi
Kweli kabisa.Mwanamke anayetegemea mbususu impe maisha hana akili kabisa na ikitokea akawa nazo basi ataitumia kama daraja na ndani ya muda mfupi utamkuta na ukwasi mkubwa wala hatategemea tena pesa ya mwanaume kuendesha maisha yake.
Wanawake cheap ndio wanaomba kununuliwa vinjwaji.Wote ni viumbe wa ajabu na ni kukosa aibu sijui wanapatq wapi ujasiri wa kuanza kuombaomba wanunuliwe vinywaji na watu wasio wajua.Mimi ninaweza kumnunulia mwanamke kinywaji nikimuelewa na sio kila limwanamke
Hata huyo mama yako ni chanzo cha umaskini wa baba yako.Mbususu ingekuwa na nguvu mgewateka wanaume wakatulia
Nashangaa sana. Yaani wanaponda wanawake utadhani mama zao, dada zao au mabinti zao sio wanawake.Mwanamke si mzuri kama sio ndugu yako, si ndivyo unavyomaanisha?
Basi tuishi humu...
CHAiNimesomesha sana hawa viumbe nimesomesha 3 chuo wote nikaambulia kuachwa tu. Wa mwisho ndo aliniumiza balaa coz nlikuwa namsomesha chuo kikuu wwngine hawa veta tu
Nimekupenda dada ♥Ni kweli. Mimi toka nakua wanawake wa kijijini kwetu walikuwa wanajituma sambamba na wanaume. Eti niache kufanya kazi sababu mwanaume kasema. Mwanaume wa hivyo hata simtaki maana hajielewi.
Ndo umpeleke we kwako Sasa si wa kwetu, eti si wote Sasa ni nini kitakachonifanya nijue wangu hayuko ktk hao uliosema si wote? Alafu kwa njaa ipi mpaka nimuache mke wangu ashinde na wewe kutwa nzima kisa kazi? Kwa njaa gani? Akafanye kazi wapi? Ili iweje? Mwanamke ni alishwe avishwe, apewe malazi,atunzwe anawiri, eti akafanye kazi usije kulialia hapa yakikukuta, alafu kama huwezi hudumia Mwanamke usijihusishe na wanawake mpaka uwe mkubwa.A
Acheni dhana potofu. Sio wanawake wote wanaofanya kazi wanaliwa ovyo. Wapo wengi tu wanajiheshimu na wana familia bora. Hata mama wa nyumbani anaweza kuliwa ovyo kama hajiheshimu.
Kazi kwelikweli. Unadhani wanaoacha wake zao wafanye kazi wote wana njaa? Kauli za ufinyu wa fikra.Ndo umpeleke we kwako Sasa si wa kwetu, eti si wote Sasa ni nini kitakachonifanya nijue wangu hayuko ktk hao uliosema si wote? Alafu kwa njaa ipi mpaka nimuache mke wangu ashinde na wewe kutwa nzima kisa kazi? Kwa njaa gani? Akafanye kazi wapi? Ili iweje? Mwanamke ni alishwe avishwe, apewe malazi,atunzwe anawiri, eti akafanye kazi usije kulialia hapa yakikukuta, alafu kama huwezi hudumia Mwanamke usijihusishe na wanawake mpaka uwe mkubwa.
Sasa we mwenye akili Pana mwache mke wako akafanye kazi, alafu asiye na njaa kama yupo na amemuacha akafanye kazi huyo ni muoga wa maisha.Kazi kwelikweli. Unadhani wanaoacha wake zao wafanye kazi wote wana njaa? Kauli za ufinyu wa fikra.
NakaziaHilo halina ubishi 💯 mwanamke kiumbe cha ajabu sana baadhi Yao hawana utu Wala shukurani omba yasikukute
Nunua abaya mkuu na pasaka utanunua gauni na viatu vya mchuchumio mixer kumtoa out alafu gharama zoote zako. Afu utamu wenyewe wa ku shareWanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.
Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.
#No reform no Election.