Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Bora mwanamke anayefanya kazi kuliko ambaye hafanyi. Tanzania ni maskini kwasababu ya kundi kubwa la wanawake ambao hawajishughulishi kiuchumiNa wakifanya kazi tukubali hatutawamiliki Wala hakuna demu wako Wala mke wako, jua limchape anatafta pesa halafu akutunzie kipochi eti ni chako tu haiwezekani labda awe anakuachia wewe ubaki nacho, wamepanga meza Kkoo jua Kali linawachapa, sura mpaka zimechujuka, biashara haziendi usafiri mwendokasi ni shida anakaa makabe huko, aende nayo arudi nayo mhhhh jiandae kulia, wanaume hudumieni wanawake, ngozi ziwe laini mikono laini Kila kitu laini huyo ndo Mwanamke wako vinginevyo mnasaidiwa majukumu yote ya nyumbani mpaka ya mwili wake acheni wanawake wabaki nyumbani muwafurahie na huo ndo uanaume.
Ulichosema hapa ni Tanzania wanaume tumeshindwa kufuta umasikini tunawasubiri wanawake watusaidie.Tanzania ni maskini kwasababu ya kundi kubwa la wanawake ambao hawajishughulishi kiuchumi
Na baba yako ameusoma huu ujumbe na ameukubali kinoma nae amesema hakuna kumhurumia mwanamke aka mke wake (mama yako) focus kwa mama yake.......jiandae mama yako kuteseka huku ndo nipo nambembeleza baba yako awe fair kwa mkeweWanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.
Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.
#No reform no Election.
Tuko na nyie mpaka mwisho wa dunia 😄Ni wanawake Tena 😹😹😹💔
Mpaka mwanaume afanye tendo ujue yy ashapigwa mengi sema hatutoki kulia.SiYO KWELIusi generalize yaliyokusibu, hauna sampuli (sample size) ya kutosha ki takwimu kuhukumu wanawake wote, eti mama yako ndyo exception😛, wanaume ndyo wana rekodi mbaya sana ya ukatili dhidi ya wanawake.
Uzi tayarWanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.
Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.
#No reform no Election.
Duh 😎Tuko na nyie mpaka mwisho wa dunia 😄
Suala hili linatuhusu watanzania wote bila kujali jinsia , kufanya kazi kwa bidii na kulipa kodi kwa hiariUlichosema hapa ni Tanzania wanaume tumeshindwa kufuta umasikini tunawasubiri wanawake watusaidie.
All truths are sadWanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.
Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.
#No reform no Election.
Yani wewe ndo umetuamsha kusema kweli 😂 😂Kumekuchaaaaaa!!!
Kizimkazi mbaroniWanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.
Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.
#No reform no Election.
🎶Oooh! mapenzi kilioo, nenda waulize wenzio, ni mdudu wa sikio akikung'ata, husikii la yeyote🎶Vilio Kila Kona...
Kwa mantiki hiyo mama ako na wanao wa kike mimi kama mimi nisiwaonee huruma?Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.
Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.
#No reform no Election.
Wanaume pekee hatuwezi sio?Suala hili linatuhusu watanzania wote bila kujali jinsia , kufanya kazi kwa bidii na kulipa kodi kwa hiari