Ukitaka kuwa masikini we wahurumie wanawake

Kila Adam ameumbiwa hawa wake wakumletea tunda ,kutoka kwa shetani.
 
Nishakajua 😁😁😁
 
Wote ni viumbe wa ajabu na ni kukosa aibu sijui wanapatq wapi ujasiri wa kuanza kuombaomba wanunuliwe vinywaji na watu wasio wajua.Mimi ninaweza kumnunulia mwanamke kinywaji nikimuelewa na sio kila limwanamke
 
Hakika...ila kwanini Hawa single mama hawalalamiki kama wenzetu upande wa pili ...
Rejea Jf
Narrative inabadilika kwenye jamii, zamani single mother walikua wanaonekana victims, sasa hivi taratibu wanaanza kuonekana wakosaji. Kwaiyo inakua ngumu kwao kujiweka wazi kama zamani
 
Bora mwanamke anayefanya kazi kuliko ambaye hafanyi. Tanzania ni maskini kwasababu ya kundi kubwa la wanawake ambao hawajishughulishi kiuchumi
Hakuna shida ninachotaka ukubali na siku ukijua inapigwa huko nje, ni hivyo tu usije kulialia, umeamua Mwanamke awe mwanaume kwa kutafta kubali na matokeo, nadhani umeona post humu inasema : amepata kazi Sasa ananidharau. Pesa kitu ingine wewe.
 
Wote ni viumbe wa ajabu na ni kukosa aibu sijui wanapatq wapi ujasiri wa kuanza kuombaomba wanunuliwe vinywaji na watu wasio wajua.Mimi ninaweza kumnunulia mwanamke kinywaji nikimuelewa na sio kila limwanamke
Basi kwenye ile comment yako usingesema "wanawake ni viumbe wa ajabu" bali ungesema "kuna watu ni viumbe wa ajabu"
 
Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.


Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.

#No reform no Election.
Uko sawa wanawake hawawapendi wanaume wema kwao huwafanyia mabaya mwanamke anataka mwanaume katili kwake
 
Tunza pesa na mali yako kwaajili yako na familia yako acha kuwekeza kwa wadangaji A.K.A visungura matope, utaishia kuombwa kulipa kodi , pesa ya saloon na gharama mbalimbali usikubali huo ujinga tunza pesa yako.
Kama vile umeniona mwanangu hapa tayar nilishaombwa kodi nampiga huyu mwizi chenga zamwili tu nataka niichape kesho nikimbie mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…