Transisco06
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 1,033
- 1,013
Angalia wanavyopandisha mapepo kila mara na wakichomoza kiuchumi wanajiita boss lady.Wanajiona wajaja lakini wanalala Chali kupokea upako toka kwetu na wakikuwahi wanakutia uchizi.Wee em sema kweli!
πππππAngalia wanavyopandisha mapepo kila mara na wakichomoza kiuchumi wanajiita boss lady.Wanajiona wajaja lakini wanalala Chali kupokea upako toka kwetu na wakikuwahi wanakutia uchizi.
Wanawake ni viumbe wa ajabuBasi kwenye ile comment yako usingesema "wanawake ni viumbe wa ajabu" bali ungesema "kuna watu ni viumbe wa ajabu"
Injili inatembea kwa kasi sana kama moto wa nyikani.Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.
Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.
#No reform no Election.
Ahudumiwe yeye ni mgonjwa mahututi?Kila mwanamke ana baba na kila mwanaume ana mama. Kwa ufupi unachosema mwanaume asihudumie mama au binti wa mwanaume mwingine.
Sio kweli, watanzania ni masikini sababu ya fikra za kimasikini. Kuna wanawake wanaofanya kazi ila ndio wanaleta gharama kushinda yule anae kaa home tu.Bora mwanamke anayefanya kazi kuliko ambaye hafanyi. Tanzania ni maskini kwasababu ya kundi kubwa la wanawake ambao hawajishughulishi kiuchumi
Huu ni mtazamo tu. Wakati shaggy anaimba alilenga kuwafurahisha wanawake ili wajiskie vizuri kucheza nyimbo zake.Strength of the woman, Aliimba Shaggy.
Kuna mstari mmoja anasema " I wonder if God is a Woman"
Maana wanawake wana nguvu ya kuwa pelekesha wanaume mperampera hadi wanalia na wengine wanahonga kila kitu.
Unachanganya maigizo na uhalisia. Na mbona lila anaekuja kutetea masingle mother anatoa mfano wa Ndoa ya Hamisa mobeto kumuoa Aziz K? Ina maana hakuna wengine?Kwenye vikao vyenu wenzenu wanawasaliti
Huyo single mama atapigika na atapata mwanaume atakayemlea yeye na mwanae na yote hayo yatabakia historia
Cc
Azizi ki katoo ng'ombe 30 kwa single mama mwenye watoto 2 Kila mmoja na baba ake...
Vilio hivi havitaisha milele ...
Analalamikaje na yeye ndie chanzo cha majanga. Single mothers huwa hawalalamiki katika mahusiano sababu wanajua walipozingua. Wanajua kuwa kuna mwanaume ambaye alitakiwa kuwa nae yeye akazingua.Hakika...ila kwanini Hawa single mama hawalalamiki kama wenzetu upande wa pili ...
Rejea Jf
Kama mwanamke hana maajabu yeyote kwenye maisha ya mwanaume, siku ukipata mtoto halafu wife wako akafa kwenye kulea huyo mtoto hadi akue ndio utaelewa umuhimu wa wanawake.Huu ni mtazamo tu. Wakati shaggy anaimba alilenga kuwafurahisha wanawake ili wajiskie vizuri kucheza nyimbo zake.
But si kweli kuwa mwanamke ana maajabu kwenye maisha ya mwanaume.
Hizi kelele zote za kishujaa wanazotoa wanawake ni sababu nyuma ya pazia wana msaada mkubwa sana kutoka kwa wanaume.
Siku si nyingi huu msaada utatoweka na hapo ndipo utaelewa kuwa huu wimbo haukuwa na maana yoyote zaidi ya kutoa burudani kwa walengwa ambao ni wanawake na Ma'simp.
Bar haikuwahi kuwa sehemu ya wanawake kwenda wanakwenda kwasababu wanataka kutafuta pesa kwa wanaume waliolewa na hawajitambui wanatoa tu offer bila akili.Aise kwahiyo hayo mambo akifanya mwanaume ni sawa ila akifanya mwanamke ndio dhambi, au wewe hujawahi kusikia kuna wanaume wanaenda kwenye mabar kuombaomba bia kwa wanaume wenzao wasiowajua, vipi na wanaume wanaopenda vitonga kama wanawake wao ndio siyo wa ajabu na wako sahihi kufanya hivyo siyo
Unaishi kwa mapokeo ya nyakati za zamani mzee. Wanawake wanaolea watoto kuwapata miaka hii ni sawa na kuitafuta bikra kwa wanawake waliovuka umri wa miaka 25,nadra sana.Kama mwanamke hana maajabu yeyote kwenye maisha ya mwanaume, siku ukipata mtoto halafu wife wako akafa kwenye kulea huyo mtoto hadi akue ndio utaelewa umuhimu wa wanawake.
kweli tupuHilo halina ubishi π― mwanamke kiumbe cha ajabu sana baadhi Yao hawana utu Wala shukurani omba yasikukute
Duh demu jinga hili. Sasa anasema amemsamehe mtu kwa kosa lipi? Yaani kumuomba mtu hela halafu asiwe nayo ndio inakuwa ni kosa?π€
Nani huyo ni mahututi?Ahudumiwe yeye ni mgonjwa mahututi?
Hao mahouse girls na mabibi ni wanaume au wanawake?Unaishi kwa mapokeo ya nyakati za zamani mzee. Wanawake wanaolea watoto kuwapata miaka hii ni sawa na kuitafuta bikra kwa wanawake waliovuka umri wa miaka 25,nadra sana.
Watoto siku hizi wanalelewa na ma House girl au bibi zao kwa usaidizi na uangalizi wa karibu wa baba za hao watoto.
Watoto wanaachishwa kunyonya hata miezi 6 siku hizi wanaanza kushindiliwa Lactogen tokea umri huo wa uchanga. Mama anatoka asubuhi anarudi kachoka akifika anazuga kumbeba mtoto kama jirani tu then straight kulala hajui hata mtoto amelala au kushindaje. Wanajali maokoto kuliko watoto.
Nadhani hauwaelewi vema wanawake wa sasa mzee.
Nikileta habari za mama mwajuma kachumbiwa na watoto wake watano utamjua πUnachanganya maigizo na uhalisia. Na mbona lila anaekuja kutetea masingle mother anatoa mfano wa Ndoa ya Hamisa mobeto kumuoa Aziz K? Ina maana hakuna wengine?