Ukitaka kuwa masikini we wahurumie wanawake

Uliposema wanawake ulikuwa katika muktadha wa mwenza yaani mke,kimada,demu au mchepuko ila sio bibi,dada, shangazi,mama,au house girl.
Wanawake ni neno general kwa jinsia ya kike.

Awe mke, kimada, demu, dada, shangazi, mama, bibi wote hawa ni KE.
 
Mwanamke si mzuri kama sio ndugu yako, si ndivyo unavyomaanisha?

Basi tuishi humu...
 
Shidq ni hawa wanawake magen-z yaliyokulia kwenye maisha ya maigizo yanayochagizwa na mitandaoo, mbona sisi tulishudia mama zetu na dada zetu wakiwaheshimu bwana zao.
 
Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.


Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.

#No reform no Election.
Hii imeenda
 
Mkuu, kila mwanaume ana mama, na kila binti ana baba. Si ndio? Sasa kila mwanaume akihudumia ipasavyo binti yake na mama yake wanawake wote watakuwa wanahudumiwa na mwanaume bado.
Well
 
SiYO KWELI usi generalize yaliyokusibu, hauna sampuli (sample size) ya kutosha ki takwimu kuhukumu wanawake wote, eti mama yako ndyo exceptionπŸ˜›, wanaume ndyo wana rekodi mbaya sana ya ukatili dhidi ya wanawake.
Simp
 
Ata mama tilipo kua wadogo aliacha ujana wake kwa kujifanya mwanang mwanang mwanang
 
Hili ndo fundisho au
 
A
Acheni dhana potofu. Sio wanawake wote wanaofanya kazi wanaliwa ovyo. Wapo wengi tu wanajiheshimu na wana familia bora. Hata mama wa nyumbani anaweza kuliwa ovyo kama hajiheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…