pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
mkuu nisingeweka iyo heading ningesoma mimi na mke wangu tuu.hakuna mtu angepata maudhui.na kujadili hii mada
mi ni mdau wa elimu ila tumekosa elimu ya finance
Unajichaganya, heading inasema ukitaka kuwa tajiri usiende shule halafu unauliza maprofesa wangapi ni mabilionea na kisha unataja mabilionea ambao hawana degree, kwa hiyo kupata degree pekee ndio kwenda shule? Wenye Diploma, Vyeti n.k hawajaenda shule?
Bill Gates alikuwa Havard kabla ya kuacha na kuanzisha Microsoft. Mark Zuckerberg alianzisha Facebook bwenini kwake Havard na Michael Dell alianzisha Dell Computers akiwa anasoma Chuo kikuu cha Texas, Austin kabla ya kuamua kuacha masomo na kujikita kwenye biashara. Hawa huwezi kusema hawakwenda shule na naamini kwenda kwao shule ndio kuliwasaidia mpaka kufanikiwa.
Mwisho hapa chini nakupa majina ya mabilionea wanne maarufu ambao wana degree:
1. Michael Bloomberg ( Bloomberg L.P, Utajiri wa Dola bilioni 27) - Electrical engineering/Business Administration
2. Phil Knight ( NIKE, utajiri wa Dola bilioni 14) - Business Administration
3. Oprah Winfrey ( OWN, utajiri wa Dola bilioni 2.8) - Communications
4. Jeff Bezos ( Amazon, utajiri wa Dola bilioni 25) Electrical engineering/computer science

Brilliant!
haiko hivyo,haina maana mtu usisome ...ila utakapokomea kutokana na sababu mbalimbali haina maana umefeli mafanikio ktk maishambona hao matajiri wapo bize kusomesha watoto wao? Kama ni hivyo si wangegoma kuwasomesha
ni kweliii...aisee yahitaji mkakati mzito..sitafanya kazi ya kuajiriwa for longThe more educated you are,the higher the risk averse you will be. The less educated the more risk lover you will be. And as the principle goes,the higher the risk the higher the return. Wasio na elimu wanaweza kuwekeza kwenye biashara yeyote bila woja na kujiuliza mara mia mia. Hawaogopi matokeo. Na wengi huwa wanafanikiwa sababu sehemu wanazowekeza wengi huwa wamezikimbia.
Mimi nafikiri wewe mwenyewe ndiyo unajichanganya! Kusema hakuna Professor Billionea ni makosa maana hakuna mtu alaiyesema unavyozidi kusoma ndiyo unazidi kuwa tajiri bali wahenga wanasema ukisoma unauhakika zaidi wa kuwa na maisha mazuri. Hivyo badala yake hapo juu ungetutajia mfano wa Maprofessor ambao ni masikini ili utushawishi tusisome na sisi.
Kuna Professor masikini unamjua hata mmoja?
Teh teh tehe!!elimu ya tanzania usingizi tu ndo maaana tunalilia kazi za kuajiriwa , mtu amesoma ila huwezi kujua mpaka akupe cheti bila hivyo unaweza kudhan ni mkulima wa zamani, kwa alivyo na akili fupi
Mpenzi msomaji je ushawahi kukaa chini na kujiuliza ni ma professor wangapi ma billionaire duniani?,au waalimu? ambao ndo wataalamu wa kufikiri inavyosadikika?,
Hawa ndo chanzo cha umaskini..sina maana kwamba nawachukia au nawadharau la hasha ila ni kutokana na mifumo mibovu ya elimu iliyopo nao ndo wanaihubiri au kuisimamia.
kivipi?,
Mara nyingi tumesikia haya maneno.MWANANGU/MWANAFUNZI SOMA SANA PATA MAKSI ZA JUU ILI UJE KUPATA KAZI NZURI YENYE MSHAHARA MKUBWA.
huu ni ujinga kwa sababu mtu akiajiriwa una kuwa na usalama wa kazi tuu lakini unakuwa hauna uhuru wa kiuchumi{financial freedom}.
unapoajiriwa na kampuni unafanyia kazi watu wengi ambao mnagawana nao mshahara pasu kama hivimshahara wako unakatwa haya kabla hujapokea.:
kodi ya serikali
makato ya bima
makato ya benki
makato ya vyama vya wafanyakazi
Alafu ndo unapokea hela yako ndo maana tumesikia wafanyakazi wengi wakilia sana juu ya makato kuwa ni makubwa sana..baada ya hapo unakwenda nyumbani na iyo hela ambapo zinakwenda katika vibobo vya kukutia umaskini ili urudi tena kazini ambavyo ni kodi ya nyumba .maji.umeme na ada za watoto na kama muflisi gari unanunua mafuta na ku li lipia kodi zake.
Huenda ujanipata vizuri sasa utanipata nachomaanisha.
Ni kuwa huyu mwajiriwa hana vitega uchumi miradi ambayo ingemuingizia pesa za kutosha maisha yake yote ndo maana baadhi ya waajiriwa wanapo staafu hufa gafla kwa sababu ya ukkata.
EMBU TUMUANGALIE MWEKEZAJI.
WAWEKEZAJI WENGI MA BILIONAIRE HAWANA DEGREE KWA MFANO.
BAKHRESA WA AZAM
PATRICK NGOWI.TAJIRI MTOO NAMBA MOJA TANZANIA
BILL GATE WA MICROSOFT
JOHN D ROCKEFELA WA STANDARD OIL OF AMERICA
MARK WA FACEBOOK
na wengine wengi unaweza ni PM.
Ma investor wote unajua wanakatajwe kodi?
ni baada ya kutoa garama zote za uendeshaji na ile faida iliopatikana ndo inakatwa kodi.
Mpenzi msomaji bwana HENRY FORD aliwahi kusema thinking is the hardest work there is that is why so few people engage in it.
2;:Wapendwa wasomaji nimepata PM nyingi sana wakitaka vitabu vya Robert kiyosaki na nimewapatia in terms of soft copy na audio.kama na wewe unataka njulishe ntakutumia kwa e mail au basi au njia yoyote ile. nicheki weyosi@yahoo.com