Ukitaka kuwa tajiri, usiende shuleni

Ukitaka kuwa tajiri, usiende shuleni

mkuu nisingeweka iyo heading ningesoma mimi na mke wangu tuu.hakuna mtu angepata maudhui.na kujadili hii mada
mi ni mdau wa elimu ila tumekosa elimu ya finance

Okay, kumbe ulitaka watu wavutiwe kujua kilichopo ndani. Kweli tunakosa financial education. Mfano utakuta kuna watu wanasifia wenzao eti fulani ana gari tatu za kutembelea. Wanadhani kuwa na gari zaidi ya moja ni utajiri kumbe ni kujibebesha mzigo, ki ukweli gari la kutanulia halizalishi pesa, lakini hasie fahamu ilo ataona hiyo ni utajiri
 
Hujaweka kiwango ambacho mtu anaitwa tajiri, kuna watu wamesoma hadi phd na wana utajiri wao mzuri.

Halafu vitu vingine haviwezi ku-apply kwenye mazingira ya bongo.

Imemchukua zuckerberg miaka mitatu kuwa bilionea, jiulize bakhressa imemchukua miaka mingapi?

Wangapi ambao hawajaenda shule ni matajiri? Nadhani africa tungekuwa na matajiri kuliko mbele.
 
Unajichaganya, heading inasema ukitaka kuwa tajiri usiende shule halafu unauliza maprofesa wangapi ni mabilionea na kisha unataja mabilionea ambao hawana degree, kwa hiyo kupata degree pekee ndio kwenda shule? Wenye Diploma, Vyeti n.k hawajaenda shule?

Bill Gates alikuwa Havard kabla ya kuacha na kuanzisha Microsoft. Mark Zuckerberg alianzisha Facebook bwenini kwake Havard na Michael Dell alianzisha Dell Computers akiwa anasoma Chuo kikuu cha Texas, Austin kabla ya kuamua kuacha masomo na kujikita kwenye biashara. Hawa huwezi kusema hawakwenda shule na naamini kwenda kwao shule ndio kuliwasaidia mpaka kufanikiwa.

Mwisho hapa chini nakupa majina ya mabilionea wanne maarufu ambao wana degree:

1. Michael Bloomberg ( Bloomberg L.P, Utajiri wa Dola bilioni 27) - Electrical engineering/Business Administration

2. Phil Knight ( NIKE, utajiri wa Dola bilioni 14) - Business Administration

3. Oprah Winfrey ( OWN, utajiri wa Dola bilioni 2.8) - Communications

4. Jeff Bezos ( Amazon, utajiri wa Dola bilioni 25) Electrical engineering/computer science

Umemsahau Dr Mengi
 
Najua wewe ni muumini wa elimu lakini umetengeneza heading ili watu wavutiwe kuisoma.

Kama ujinga ndio mafanikio basi bara la Africa lingekuwa namba moja kwa utajiri. Maana wasiojua kusoma wako kibao, wsiomaliza hata la saba wako kibao
 
Kiwango chako cha elimu ndo kiwango cha utajiri wako.mana mtu msomi anaujasiri wakuamini.mfmo wa elimu tz ni tegemezi.
 
Unajichaganya, heading inasema ukitaka kuwa tajiri usiende shule halafu unauliza maprofesa wangapi ni mabilionea na kisha unataja mabilionea ambao hawana degree, kwa hiyo kupata degree pekee ndio kwenda shule? Wenye Diploma, Vyeti n.k hawajaenda shule?

Bill Gates alikuwa Havard kabla ya kuacha na kuanzisha Microsoft. Mark Zuckerberg alianzisha Facebook bwenini kwake Havard na Michael Dell alianzisha Dell Computers akiwa anasoma Chuo kikuu cha Texas, Austin kabla ya kuamua kuacha masomo na kujikita kwenye biashara. Hawa huwezi kusema hawakwenda shule na naamini kwenda kwao shule ndio kuliwasaidia mpaka kufanikiwa.

Mwisho hapa chini nakupa majina ya mabilionea wanne maarufu ambao wana degree:

1. Michael Bloomberg ( Bloomberg L.P, Utajiri wa Dola bilioni 27) - Electrical engineering/Business Administration

2. Phil Knight ( NIKE, utajiri wa Dola bilioni 14) - Business Administration

3. Oprah Winfrey ( OWN, utajiri wa Dola bilioni 2.8) - Communications

4. Jeff Bezos ( Amazon, utajiri wa Dola bilioni 25) Electrical engineering/computer science

Brilliant!
 
mbona hao matajiri wapo bize kusomesha watoto wao? Kama ni hivyo si wangegoma kuwasomesha
haiko hivyo,haina maana mtu usisome ...ila utakapokomea kutokana na sababu mbalimbali haina maana umefeli mafanikio ktk maisha
 
The more educated you are,the higher the risk averse you will be. The less educated the more risk lover you will be. And as the principle goes,the higher the risk the higher the return. Wasio na elimu wanaweza kuwekeza kwenye biashara yeyote bila woja na kujiuliza mara mia mia. Hawaogopi matokeo. Na wengi huwa wanafanikiwa sababu sehemu wanazowekeza wengi huwa wamezikimbia.
ni kweliii...aisee yahitaji mkakati mzito..sitafanya kazi ya kuajiriwa for long
 
ila pia kwenda ndo usiache kwenda shule kabisaa...u have to go to school to learn the 'basics' na kujua dunia inaendaje,then find ur way out ..wapo wengi waliojiajiri kutokana na visomo vyao na wamefanikiwa sana,mf.auditor kufungua auditing firm,lawyers na firm zao,doctor's na hospitala u medical centres nk...
kubaya ni ile kudhani kwamba ukishaajiriwa basi ndo umefika na maisha yanaishia hapo,unless kama mtu unaridhika na vidogo...ila kama mtu unapenda kuenjoy life zaidi,travels and vacations ,more time kula bata ,and having most of the things u want in life KUJIAJIRI NDO MPANGO MZIMA
 
bora umemwambia ukweli huyo mkuu kwani naona anajichanganya zaidi

kusoma kunapanua ufahamu wako na kupata maarifa ambayo hukuyapata na kunaondoa ujinga


Mimi nafikiri wewe mwenyewe ndiyo unajichanganya! Kusema hakuna Professor Billionea ni makosa maana hakuna mtu alaiyesema unavyozidi kusoma ndiyo unazidi kuwa tajiri bali wahenga wanasema ukisoma unauhakika zaidi wa kuwa na maisha mazuri. Hivyo badala yake hapo juu ungetutajia mfano wa Maprofessor ambao ni masikini ili utushawishi tusisome na sisi.

Kuna Professor masikini unamjua hata mmoja?
 
elimu ya tanzania usingizi tu ndo maaana tunalilia kazi za kuajiriwa , mtu amesoma ila huwezi kujua mpaka akupe cheti bila hivyo unaweza kudhan ni mkulima wa zamani, kwa alivyo na akili fupi
Teh teh tehe!!
Eti mkulima wa zamani,
 
Tunawahitaji wote katika maendeleo,wote tuki ajiliwa nani atamwajiri mwenzake,makampuni yanawahitaji wafanyakazi ili uchumi ukue sasa acheni wengine waajiliwe,ila mimi natakata kijiajiri na kuajili wengine kwa sababu nimechagua hivyo,so kama na wewe umechagua kuajiliwa fresh njoo nikuajili bcz ndo umaona poa ila jua kipato chako kitakuwa limited bcz it is expense to me and i want to reduce my expense in order to earn super nomal profit.LAKINI ukitata kipato bila ukomo start your own business come to right side of quadrant(business owner and investors).Kuandamana eti mshahara hautoshi ni ujinga wakati unajua kabisa your salary is expense to me,eti kwa maandamano niongeze mshahara,siongezi wataaaa.
 
Tunawahitaji wote katika maendeleo,wote tuki jiliajili nani atamwajiri mwenzake,makampuni yanawahitaji wafanyakazi ili uchumi ukue sasa acheni wengine waajiliwe,ila mimi natakata kijiajiri na kuajili wengine kwa sababu nimechagua hivyo,so kama na wewe umechagua kuajiliwa fresh njoo nikuajili bcz ndo umaona poa ila jua kipato chako kitakuwa limited bcz it is expense to me and i want to reduce my expense in order to earn super nomal profit.LAKINI ukitata kipato bila ukomo start your own business come to right side of quadrant(business owner and investors).Kuandamana eti mshahara hautoshi ni ujinga wakati unajua kabisa your salary is expense to me,eti kwa maandamano niongeze mshahara,siongezi wataaaa.
 
Safi sana
 

Attachments

  • 1432402173353.jpg
    1432402173353.jpg
    62.6 KB · Views: 189
Mpenzi msomaji je ushawahi kukaa chini na kujiuliza ni ma professor wangapi ma billionaire duniani?,au waalimu? ambao ndo wataalamu wa kufikiri inavyosadikika?,
Hawa ndo chanzo cha umaskini..sina maana kwamba nawachukia au nawadharau la hasha ila ni kutokana na mifumo mibovu ya elimu iliyopo nao ndo wanaihubiri au kuisimamia.
kivipi?,
Mara nyingi tumesikia haya maneno.MWANANGU/MWANAFUNZI SOMA SANA PATA MAKSI ZA JUU ILI UJE KUPATA KAZI NZURI YENYE MSHAHARA MKUBWA.
huu ni ujinga kwa sababu mtu akiajiriwa una kuwa na usalama wa kazi tuu lakini unakuwa hauna uhuru wa kiuchumi{financial freedom}.
unapoajiriwa na kampuni unafanyia kazi watu wengi ambao mnagawana nao mshahara pasu kama hivimshahara wako unakatwa haya kabla hujapokea.:
kodi ya serikali
makato ya bima
makato ya benki
makato ya vyama vya wafanyakazi
Alafu ndo unapokea hela yako ndo maana tumesikia wafanyakazi wengi wakilia sana juu ya makato kuwa ni makubwa sana..baada ya hapo unakwenda nyumbani na iyo hela ambapo zinakwenda katika vibobo vya kukutia umaskini ili urudi tena kazini ambavyo ni kodi ya nyumba .maji.umeme na ada za watoto na kama muflisi gari unanunua mafuta na ku li lipia kodi zake.
Huenda ujanipata vizuri sasa utanipata nachomaanisha.
Ni kuwa huyu mwajiriwa hana vitega uchumi miradi ambayo ingemuingizia pesa za kutosha maisha yake yote ndo maana baadhi ya waajiriwa wanapo staafu hufa gafla kwa sababu ya ukkata.
EMBU TUMUANGALIE MWEKEZAJI.
WAWEKEZAJI WENGI MA BILIONAIRE HAWANA DEGREE KWA MFANO.
BAKHRESA WA AZAM
PATRICK NGOWI.TAJIRI MTOO NAMBA MOJA TANZANIA
BILL GATE WA MICROSOFT
JOHN D ROCKEFELA WA STANDARD OIL OF AMERICA
MARK WA FACEBOOK
na wengine wengi unaweza ni PM.
Ma investor wote unajua wanakatajwe kodi?
ni baada ya kutoa garama zote za uendeshaji na ile faida iliopatikana ndo inakatwa kodi.
Mpenzi msomaji bwana HENRY FORD aliwahi kusema thinking is the hardest work there is that is why so few people engage in it.
2;:Wapendwa wasomaji nimepata PM nyingi sana wakitaka vitabu vya Robert kiyosaki na nimewapatia in terms of soft copy na audio.kama na wewe unataka njulishe ntakutumia kwa e mail au basi au njia yoyote ile. nicheki weyosi@yahoo.com

Tafuta documentary ya " Freeway Rick Ross " A big time drug dealer in LA, Carlifonia, USA by Aljazeera. (achana na yule rapper)

Angalia vizuri na uielewe, jamaa alikua multi-million dollar drug trafficker aliyepiga hela nyingi sana in his time anaeleza umuhimu wa shule/elimu in the life of a business person, he was completely illiterate (didnt know how to read and write yet made millions in the drug trade).....shule ni muhimu ndugu. Issue is elimu na maarifa yako ya apply kwenye entrepreneurship/business ventures. Otherwise utapigwa chini na wanaokuzidi maarifa.

Wana muziki wakubwa wenyewe akina Dr. Dre, Timbaland na wengine wengi, waigizaji wenye production companies zenye mafanikio makubwa pia walirudi darasani ili wajue kutengeneza good music/videos sembuse ww. Angalia wanavyopiga hela. Unafkiri walianza tu out of nowhere ?? Nenda darasani fani na interests zako uzi run kisomi alaf tia juhudi na ubunifu. Uone kama huja tishia amani.

Hata kua mwizi mwenye kiwango unabidi uwe msomi pia....angalia yanayotendeka nchini. Masterminds wote ni wasomi wanatumiwa na mafisadi. Kwa sabab nchi imekaa ki hasara hasara watu wanajipakulia tu wanavyotaka.
 
Tunawahitaji wote katika maendeleo,wote tuki jiajiri nani atamwajiri mwenzake,makampuni yanawahitaji wafanyakazi ili uchumi ukue sasa acheni wengine waajiliwe,ila mimi nataka kijiajiri na kuajili wengine kwa sababu nimechagua hivyo,so kama na wewe umechagua kuajiliwa fresh njoo nikuajili bcz ndo umaona poa ila jua kipato chako kitakuwa limited bcz it is expense to me and i want to reduce my expense in order to earn super nomal profit.LAKINI ukitata kipato bila ukomo start your own business come to right side of quadrant(business owner and investors).Kuandamana eti mshahara hautoshi ni ujinga wakati unajua kabisa your salary is expense to me,eti kwa maandamano niongeze mshahara,siongezi wataaaa.
 
Matajiri nnao wajua ni akina bill get..baffet dangote wa africa, je na wewe ambaye hujasoma ni tajiri???
 
Back
Top Bottom