Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Nimefuatilia kwa karibu wanasiasa wanaijitosa kugombea urais.
Wengi wamejikuta kuingia matatixo mazito ya kimaisha, hasa wanaotoka vyama vyenye ushawishi kama CCM na CHADEMA.
Na hata wakiupata, bado wanakuwa na maisga ya ndege, kurukia tawi hili na lile, kujinusuru kiusalama.
Heri upambe tu, siku hizi ati uchawa!
Mwalimu Nyerere-kifo chake maneno matupu.
Ali H. Mwinyi-imebidi ajitie ujinga ili asisumbuliwe.
Benjamin Mkapa-aliondoka chap chap
Jakaya Mrisho Kikwete-ni mjanja na anaujua uwanja.
John Magufuli-kuondoka kwake maneno mengi.
Freman Mbowe-lupango kachezea sana hadi kesi ya uhaini.
Tundu Lissu- amekula risasi za kutosha.
Vile vile fuatilia waliowahi kugombea urais halafu tulete mrejesho.