uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Lile kundi la makamba haliwezi kupata matatizo kwasababu ni wema na hawafi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrema, Mtikila, Anna Magwira, Lowasa(hana afya nzuri), Membe ndio alamsiki.Hao uliowataja walikuwa Marais tayari, waliogimbea ni
1. John Mrema Mzee wa Kiracharacha na mjumbe wa Bodi ya Paroli
2. Mzee wa vijisenti John Cheyo
3. Mzee wa Mabagachori Mtikila
4. Tundu Lisu
5. Mtu huru Freeman
6. Kigwanomics Kingwa
7. JM Makamba smart person |3rd runner]
8. Asha Rozi Migiro [2nd Runer]
9. Mwigulu mzee wa utaifa kwanza
10. B.M [anakadhiwa kwa wazee bado hajazikwa]
11. Mzee wa Mamvi [Elimu kwanza] Lowassa
12. Anna Mgirwa
13. Queen Chandiga
14. Mzee wa ubwabwa
Na wengine wengi, tu check justification ya hoja yako sasa
Tangu ujiunge forum hii leo ndo umerusha post yenye akili. Nakuongezea pia na maisha ya mabwana Mrema na Mzee Lipumba.Nimefuatilia kwa karibu wanasiasa wanaijitosa kugombea urais.
Wengi wamejikuta kuingia matatixo mazito ya kimaisha, hasa wanaotoka vyama vyenye ushawishi kama CCM na CHADEMA.
Na hata wakiupata, bado wanakuwa na maisga ya ndege, kurukia tawi hili na lile, kujinusuru kiusalama.
Heri upambe tu, siku hizi ati uchawa!
Mwalimu Nyerere-kifo chake maneno matupu.
Ali H. Mwinyi-imebidi ajitie ujinga ili asisumbuliwe.
Benjamin Mkapa-aliondoka chap chap
Jakaya Mrisho Kikwete-ni mjanja na anaujua uwanja.
John Magufuli-kuondoka kwake maneno mengi.
Freman Mbowe-lupango kachezea sana hadi kesi ya uhaini.
Tundu Lissu- amekula risasi za kutosha.
Vile vile fuatilia waliowahi kugombea urais halafu tulete mrejesho.
Kwani nani alikwambia mtu alizaliwa ili awe na akili!Tangu ujiunge forum hii leo ndo umerusha post yenye akili. Nakuongezea pia na maisha ya mabwana Mrema na Mzee Lipumba.
Mungu alivyo mkubwa utakufa wewe utamwacha JK analea vitukuuJK ameshajaa. Subiria
Yule si tishio hata kwake mwenyewe.Yule mkulima wa dodoma sijui yupo au naye tulishamkosa? Mwenyewe yupo na update anipe
Hawa nao unasemaje?....Momose Cheyo, Lipumba, Queen Sendiga, Hashimu Rungwe.....Nimefuatilia kwa karibu wanasiasa wanaijitosa kugombea urais.
Wengi wamejikuta kuingia matatixo mazito ya kimaisha, hasa wanaotoka vyama vyenye ushawishi kama CCM na CHADEMA.
Na hata wakiupata, bado wanakuwa na maisga ya ndege, kurukia tawi hili na lile, kujinusuru kiusalama.
Heri upambe tu, siku hizi ati uchawa!
Mwalimu Nyerere-kifo chake maneno matupu.
Ali H. Mwinyi-imebidi ajitie ujinga ili asisumbuliwe.
Benjamin Mkapa-aliondoka chap chap
Jakaya Mrisho Kikwete-ni mjanja na anaujua uwanja.
John Magufuli-kuondoka kwake maneno mengi.
Freman Mbowe-lupango kachezea sana hadi kesi ya uhaini.
Tundu Lissu- amekula risasi za kutosha.
Vile vile fuatilia waliowahi kugombea urais halafu tulete mrejesho.
Only presidential material ndio threat.Hawa nao unasemaje?....Momose Cheyo, Lipumba, Queen Sendiga, Hashimu Rungwe.....
Jiduuuuuuuuuuuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Only presidential material ndio threat.
Hao hata nyau wa kisiasa hawatishiki waakiwaona!
Lipumba huwa anapishana wa wapiga kura mlangoni kila chama anachoingia.
Akiingia, wanatoka!
Vihunzi wameruka wengi lakini hata wakiwa marais maisha hayakuwa rahisi.Kuoa mke tu, lazima upitie changamoto sembuse kugombea Urais wa Nchi ya Tanzania!!!!
Hata ajaye anaruka vihunzi vya kutosha, lakini AMESHINDA.
Acha woga!Bm, JK, JPM na Mama wote waliwahi kusikika wakilalamika kwa nyakati tofauti tofauti.
Baba yangu aliwahi kunikanya mara nyingi sana nisije nikajaribu kujihusisha na mambo ya siasa.
Au angalia hata hapa ndani jinsi watu wanavyo parurana kule kwenye jukwaa la siasa.
Irikni ka ajuoga moneno mand rombo...😂Acha woga!
Katika kuparurana tunaijenga misingi ya nchi yetu!
Wasije watoto wakasuhudia maujinga wakakosa hata sehemu ya kuanzia!
Nasikia leo mnazika mzoga wenu.Mungu alivyo mkubwa utakufa wewe utamwacha JK analea vitukuu