Ukitaka matatizo maishani, gombea Urais

Mrema, Mtikila, Anna Magwira, Lowasa(hana afya nzuri), Membe ndio alamsiki.
Hata Mwakyembe alionjeshwa sumu(polonium), alijikuna mpaka basi!
 
Tangu ujiunge forum hii leo ndo umerusha post yenye akili. Nakuongezea pia na maisha ya mabwana Mrema na Mzee Lipumba.
 
Hawa nao unasemaje?....Momose Cheyo, Lipumba, Queen Sendiga, Hashimu Rungwe.....
 
Hawa nao unasemaje?....Momose Cheyo, Lipumba, Queen Sendiga, Hashimu Rungwe.....
Only presidential material ndio threat.

Hao hata nyau wa kisiasa hawatishiki waakiwaona!

Lipumba huwa anapishana wa wapiga kura mlangoni kila chama anachoingia.
Akiingia, wanatoka!
 
Only presidential material ndio threat.

Hao hata nyau wa kisiasa hawatishiki waakiwaona!

Lipumba huwa anapishana wa wapiga kura mlangoni kila chama anachoingia.
Akiingia, wanatoka!
Jiduuuuuuuuuuuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuoa mke tu, lazima upitie changamoto sembuse kugombea Urais wa Nchi ya Tanzania!!!!

Hata ajaye anaruka vihunzi vya kutosha, lakini AMESHINDA.
 
Kuoa mke tu, lazima upitie changamoto sembuse kugombea Urais wa Nchi ya Tanzania!!!!

Hata ajaye anaruka vihunzi vya kutosha, lakini AMESHINDA.
Vihunzi wameruka wengi lakini hata wakiwa marais maisha hayakuwa rahisi.
 
Acha woga!
Katika kuparurana tunaijenga misingi ya nchi yetu!
Wasije watoto wakasuhudia maujinga wakakosa hata sehemu ya kuanzia!
 
Acha woga!
Katika kuparurana tunaijenga misingi ya nchi yetu!
Wasije watoto wakasuhudia maujinga wakakosa hata sehemu ya kuanzia!
Irikni ka ajuoga moneno mand rombo...😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…