Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ikiwa ni Chombo cha Habari cha Kimataifa au cha Tanzania, au hata kama wewe ni mtu Binafsi, ukitaka Mdahalo na Wagombea wa Chadema kuelekea uchaguzi wao wa ndani, basi wala si kazi ngumu, Nenda kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho iliyopo Mikocheni Dar es Salaam utasikilizwa.
Haya yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika alipoongea na wanahabari.
Taasisi hii ya Chadema inao utaratibu wa kufuatwa ili kuwapata wagombea wake na kuwaandalia Mdahalo. Hukurupuki Tuu
Haya yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika alipoongea na wanahabari.
Taasisi hii ya Chadema inao utaratibu wa kufuatwa ili kuwapata wagombea wake na kuwaandalia Mdahalo. Hukurupuki Tuu